Ubonge Nyanya Wamnyima Raha Supastaa Wema Sepetu..Aomba Ushauri......

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muigizaji wa filamu nchini, Wema Sepetu ambaye siku za karibuni ilidaiwa kuwa na ujauzito na baadae tetesi zikaenea kuwa ujauzito wake umeharibika amefunguka na kusema anahitaji kujifungia ndani

kwani zoezi la mpaka june ni kubwa na kuomba ushauri kwa mashabiki zake namna ya kupunguza mwili kutokana na yeye kuongezeka na kuzidi kunenepa.

Kupitia ukurasa wake wa Instgram Wema aliandika ujumbe ambao umeleta utata kwa baadhi ya mashabiki ambao wanahisi huenda Wema Sepetu bado ana ujauzito kutokana na kitendo chake cha kutotaka kupost picha zake mpya na kutokana na mabadiliko yake ambayo wanahisi yanaletwa na ujauzito. Ingawa mashabiki wengine wamekuwa wakimshauri kuwa anapaswa kupunguza mwili wake kwa kufanya mazoezi huku wengine wakizidi kumpa sifa kuwa anazidi kupendeza.

"Ni hii tu naipost sababu nampenda sana Huyu mwanamke... Ila sasahivi sijui nijifungie tu ndani maana zoezi la mpaka 'June' ni Kubwa. Haya na msisahau kunipa na ushauri wa dawa gani za kutumia nipungue sio kwa ubonge nilionao sasa. 'But not my fault' ni fault ya vile vitwins vyangu vile. Weightloss imekuwa ni ngumu sana kwangu" aliandika Wema Sepetu

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wema, you are what you eat... simple. Punguza madikodiko.

    ReplyDelete

Top Post Ad