UKAWA Mko Wapi? Yanayoendelea Umeya Dar, Tanga na Kilombero Itisheni Press Mtujuze

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Sasa hivi imekuwa fasheni wabunge wetu kukamatwa hasa maeneo niliyotaja kwenye uchaguzi ambao ni dhahiri Ukawa wana uwezo wa kupata meya. 

Ajabu viongozi wa juu mko kimya kwa nini? Mumechoka na kuona bora liende? Wananchi ndio waliowachagua madiwani kwa nini wanyimwe haki yao ya kuongoza hizo halmashauri?

Nawashauri muitishe press tena live coverage kwenye Tv zetu na kutueleza kwa nini wabunge wetu wananyanyasika kiasi hiki?

Hivi kweli miaka ijayo watu watajitokeza kugombea kwa vyama vyetu kama mateso ndio haya?

Kimya chenu kinatutia hasira sana na sisi hatuwezi kukubali unyonge huu abadani. 

PSE haraka sana tuambieni na taifa lijue maana wapo wanaoaminishwa kuwa wabunge wa Ukawa ni wakorofi na kupoteza maana ya wanachopigania.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. yaani kama mnaendesha mambo kwa mizuka hamna namna nyingine mtapigwa tu fuateni taratibu nchi inatawaliwa na serekeli ya ccm.fuateni taratibu msilete FYOKO FYOKO MAANA MUUNGOZO KWA WALETA FYOKO FYOKO ULISHATOLEWA NA AMIRI JESHI MKUU

    ReplyDelete
  2. Tawireee. Na Halima alizidi fyoko. Anapenda utemi usio na maana. Anapenda attention hasa kwa waandishi wa habari. Mvurugaji mkuu wa ndoa na mahusiano ya watu. Tabia yake ya usagaji imebobea. Na sauti yake mbayaaaaa.

    ReplyDelete
  3. Heeee hureee Msagaji tenaaa jamani mbona Demu wa Mbowe huyo...

    ReplyDelete
  4. Wote mliokomenti hapo juu sijawaelewa hata kidogo,kusema ukweli kwa haya yanayotokea nazidi kuichukia si si em,naanza kuamini kuwa wengi waliomo kwenye chama tawala ni wahuni na wapiga dili tu...

    ReplyDelete
  5. ANGALIA MATUSI,ANGALIA CCM WALIVYO,ANGALIA TUNATUKANWA.FYOKO FYOKO.NANI FYOKO FYOKO.MHUNI[AMBAYE WOTE TUNAMJUA]NDIYE FYOKO FYOKO,TENA FYOKO FYOKO WA FYOKO FOKYO MWENYE KIBULI CHA UFYOKO-FYOKO.FYOKO MPAKA.

    ReplyDelete

Top Post Ad