Wema Sepetu Atoboa Siri...Aliyekuwa Mume wa Zari Anamtongoza na Ahadi ya Kumuoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Supastaa wa Bongo, Wema Sepetu ‘madam’ ameanika siri zilizojificha nyuma ya pazia kati yake na aliyekuwa mume wa mwanamuziki nyota wa Uganda, Zarina Hassan ‘Zari’, Ivan Semwanga, kuwa anataka kumuoa.

Katika mazungumzo yake exclusive na mwanahabari wetu juzi jijini Dar, Wema alianza kwa kuweka bayana kwamba, mawasiliano yake na Ivan yalianzia nchini Afrika Kusini wakati alipokwenda kikazi, Februari, mwaka huu.

“Nilikwenda na Ommy Dimpoz (Faraj Nyembo). Tulikuwa na project yake lakini tulipokuwa kule, Ivan na marafiki zake walisikia kuwa mimi nipo, wakatuomba sana kupitia kwa wenyeji wetu kuwa wanataka kutuona na kutoka nao out pamoja.”

“Mimi nilikuwa bize sana na kazi zangu, awali niliwaambia kuwa hatutaweza lakini baadaye walitubahatisha klabu, wakaomba kukaa na sisi, mwishoni ilibidi tuwakubalie lakini kwa masharti ya kuwa wasije wakatuzushia lolote.

“Tulikubali, wakaja, tukakaa nao meza moja, tukabadilishana mawasiliano kama marafiki. Lakini baadaye tukaona wanaongezeka, sikupenda vurugu ya watu wengi, mimi na Ommy tukaamua kuondoka zetu,” alisema Wema.

Akizidi kumwaga siri zake na mwanaume huyo, Wema alisema baada ya yeye kumaliza project yake nchini humo, alirejea Bongo na ndipo Ivan alipozidisha ufundi wa kumuomba urafiki wa kimapenzi huku akimuahidi mambo mengi ya muhimu.

Msikie Wema: “Baada ya hapo tulikuwa tunawasiliana na Ivan, lakini kadiri siku zilivyokuwa zikisonga mbele, nikaona mwenzangu anaanza kunitongoza, tena akawa anaendelea kila siku licha ya mimi kutomkubalia.”


Aliyekuwa mume wa mwanamuziki nyota wa Uganda, Zarina Hassan ‘Zari’, Ivan Semwanga.

Wema alizidi kutiririka kuwa, hadi sasa (mapema wiki hii), Ivan hajakata tamaa, amekuwa akiendelea kumtongoza na kumuahidi ahadi mbalimbali.

Endapo atamkubalia na kuwa baby wake, basi atampa nyumba ya kifahari na magari ya kisasa (awe kama Zari).

Wema anakiri mwenyewe: “Alianza kuniahidi maisha mazuri, nyumba, magari na hata kunioa lakini kimsingi sijamkubalia kwani sijamwamini kama ana mapenzi ya dhati. Nahisi kuna kitu nyuma yake kinamsukuma kufanya hivyo.”

Kwa mujibu wa chanzo makini, kuna uwezekano mkubwa Wema akaingia kwenye himaya ya Ivan kutokana na ushawishi wake mkubwa anaoufanya kwa madam huyo, hivyo akawa tajiri mkubwa.

“Wema kwa sasa hatakiwi kuichezea bahati kwani Ivan ni mtu anayejiheshimu. Ana biashara zake kubwakubwa, hivyo suala la fedha za maisha hazimpigi chenga,” kilisema chanzo hicho.
Akizungumzia suala hilo, rafiki wa karibu wa Wema ambaye hakupenda jina lake liandikwe , alisema licha ya Wema kutokubali ombi la Ivan lakini anaamini siku si nyingi atakubali na atakuwa vizuri kiuchumi kuliko alivyo sasa.

“Jamaa yupo serious na ndoa, Wema atakubali tu na ndoa itafungwa. Mtoto wa kike sasa atakuwa si wa magari ya kawaida, full kubadilisha, atakuwa mtamu kama mcharo,” alisema rafiki huyo.

Rafiki huyo aliendelea kusema kuwa, Wema ana wasiwasi kwamba, mapenzi ya Ivan kwake ni kwa ajili ya kulipa kisasi kwa sababu ya Diamond (aliyekuwa mpenzi wa Wema) sasa yuko na Zari (aliyekuwa mke wa Ivan).

“Kwa hiyo Wema ana wasiwasi kwamba, siku akimkubalia tu Ivan akapiga naye ngwara, biashara itakuwa imeishia hapo kwani nia ya kisasi ya mwanaume huyo itakuwa imekamilika,” alisema rafiki huyo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haahaaa has haaa. Mambo ya Mwaka Jana eti anamtaka Leo. Mbona marafiki zake walishatoa Siri kwamba alimuonja mara moja TU na hakumtaka tena. YAANI mpaka AIBU.

    ReplyDelete
  2. HILO NI JAMVI LA WAGENI WALA HATOSHANGAA MTU.

    ReplyDelete
  3. MBONA UNAWEKA PICHA YA WEMA ZAMANI ALIVYOKUWA NA MIAKA 18? WEKA YA SASA TULIONE HILO LI MKUNDU LILIVYO NENE PEANA KAMA MKATE WA BAKHRESA ,KWA AILA MBICHI

    ReplyDelete
  4. Jamani jamani tuwe tuna jikubali na maumbile yetu, inasikitisha sana kuona umbo la bi wema linavyo mwagika yani mpaka kinyaa duh. Tamaa hiyo my Martha ali wadanganya na mchina ooh haina madhala yoyote lol leo atakumvulia boy friend wako inabidi uzime taa mmmh manga!

    ReplyDelete
  5. Usizubae wema kula maisha kwani cha ajabu ni Nini!!?toka nae umkomeshe huyo bibi kizee wa diamond maana pale ndo tegemeo lake haishi kuomba pesa kwa mumewe!!!!embu mkubalie acha ujinga wewee!!!!chuna buz hilo achana na ziki za bongo nenda kale rahaaa,we Vipiii hamia Uganda plzzzz....gogogooo wemaaa plzzz na movie ianzeee!!!acha kuzubaa...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ivan akikataliwa atakuwa na gungu+mkosi maishani mwake,maana Wena ana huruma ya kutoa kila amuambae mapenzi.

      Delete
    2. akili za mabeki 3 huwa mnachekesha sana haha ha ha hivi kwanini wazazi wako walipoteza mda wao kuzaa uharo kama wewe??

      Delete
  6. kweli bora kukosa mali lkn mungu akupe akili aiseeeee.....daaaaaaaahhh wema nakuonea huruma sana. Haya kama maisha ya mapenzi na mahusiano ni magari na majumba nenda tu kwa Ivan.....Zari hana muda na Ivan ni watoto tu ndo wananafanya wawasiliane na wako fair na maisha. kama kulipa kisasi ivan alishatoka na rafiki wa Zari openly kila mtu akaona lkn Zari hakugeuka nyuma.....sasa kama unadhaniinav anataka kulipa kisasi kwa zari kwa kukukwangua ww peleka shimo hilo tu. Nahis ww ndo unahisi kulipa kisasi kwa zari kua kakuchukulia bwana na ww unataka ukamchukue bwana aake.........hiyo sio akili ni matope we bibi bomba na atakufunua na kukuacha hawezi oda mzee kama ww akupeleke wapi???!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona matikitibokoyao alishasema Jamani walipogombana akasema akamtukana WEMA KWAMBA Angekuwa Mzuri angefanywa mara moja TU NA Ivan NA mwanaume hakurudi tena? Alichokikuta Huko hatukijui ila ndo hivo. Ivan angemtaka wala asingekataa jinsi anavyopenda hela bidada. Ila ndo hivyo Ivan kaonja hakurudi tena.

      Delete
  7. Mpe mzigo kama ulivyowapa akina Blue,charles Baba,kanumba,nassibu,Jumbe,mimi,Ck,Iddrisa,Pogoro,TID,Mapesa,Blondy,Akiyda,Masenga Jr n.k

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bado listi naendelea mkongo, petit man, kadinda, kwi kwi kwi. Pango la Wema halina mgogoro. Ukisimamisha tu anakupanulia.

      Delete
    2. na bado list inaendelea yule rappa wa Kenya aliyekuwa na Hudda Monroe zamani

      Delete
  8. POLE WEMA WEEE!!! UNAHANGAIKA SANA.

    ReplyDelete
  9. acheni kumuita Zari bibi kizee, wakati Zari ingawa ana miaka 35 anajua kujilinda anaonekana kijana kuliko Wema kidevu chake kiko njiani kuanguka, pia matako yako njiani kuanguka sababu ya mchina yaani Wema anaonekana kama ana miaka 60. Wema hao watu wanaokusema umelala na wanaume wengi inawezekana ni kweli sababu inaonekana hao wanaume uliolala nao ndiyo wanakusema mitandaoni

    ReplyDelete

Top Post Ad