Idriss Afunguka...Niliumia Kumuona Wema Sepetu Akimbusu Mwanaume Mwingine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Idris Sultan aliumia kumuona mpenzi wake Wema Sepetu akimbusu mwanaume mwingine.

Idris na mtangazaji wa The Trend, Larry Madowo

Akiongea kwenye kipindi cha The Trend cha NTV ya Kenya, Idris alisema ‘hicho ni kitu kibaya zaidi kuwahi 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wema amekula hela zako za big brother mpaka amenenepeana mitako sasa hivi anaenda kumbusu mwanaume mwingine ndiyo maisha hayo

    ReplyDelete
  2. bora uchana naye mtoto mswahili sana huyu msichana, you can do better Idris. mwaache ahangaike na dunia before she knows uzuri umeisha na ukopeke take. actually i will take that back, kunawasichana wazuri sana bongo kuliko wema.

    ReplyDelete
  3. hivo why yuko hivo kwa anawapa madui wake faida umempata Idris tulia Idris he is a very good guy intelligent and very understanding for God sake be good una nini can you just sit down and ask yourself why niko hivi tulia please

    ReplyDelete
  4. Wema ni fupa lililomshinda fisi. Idriss hatoliweza. Alikutumia kulipa kisasi kwa Dai ambae kisha move on na hataangalia nyuma. Wema kabaki na drama zisizokwisha. Mara mimba mara range rover mara kiosk cha lipstick. Kwa kifupi bibi bomba kafikia mwisho. Ataambulia wale wa nit*omb* nikale. Shepu yake mgogoro. Makalio marefu kama rula ya seremala.

    ReplyDelete
  5. Hata mm nikipiga bingo ntamtafuta wema ndo mwanamke WA kutumia nae, hamna mwanamke mtamu na mzuri Kama wema

    ReplyDelete
  6. AIBU KUSEMA ULIUMIA!!!!

    ReplyDelete
  7. umesahau na wewe ulivyokuwa unabusu kila mwanamke ulipokuwa kule big brother si ndio tabia zenu na wewe umempata anayefanana na wewe., wapumbavu wakubwa.

    ReplyDelete
  8. Wema kajaza mitako anafikiri Diamond atamrudia Diamond haangalii wara harudi nyuma safali hii ulie tu Wema kwanza mitako yenyewe uliyojaza mireefu sio matako mazuri ya mviringo kama ya Kim Kardashian, mwenzako Kim Kardashian anaye daktari maarufu au surgery wa kumtengeneza makalio yake kwa bei mbaya, sasa wewe Wema unatumia mchina wa bei nafuu matokeo yake ndiyo hayo hapo matako mareefu yameanguka na minyama hiyo du. Hata haipendezi kwa kweli.

    ReplyDelete
  9. Wema kamsumbua Idriss watafute kiki ya ujauzito wa kufeki ili aone kama Diamond atamrudia Wema kaona Diamond hana hata mpango akaona aa ngoja tuseme mimba imetoka tu halafu akasonga mbele sasa hivi atatafuta kiki nyingine ya kuona kama Diamond atarudi. Wema ukae ukijua hata kama ukifanya nini Diamond harudi tena kwako kama zamani sasa hivi Diamond amesonga mbele na maisha yake na wewe wema inabidi usonge mbele na maisha yako amasivyo utaishia kwenye kiki ambazo watu tumeshazichoka kama hiyo kiki ya wewe kuwa na mimba watu tunajua ni mimba feki na hiyo kiki ilichosha vibaya mno mpaka kichefu chefu

    ReplyDelete
  10. wema it's better utulie kila unapokosea ni lazima utafakari miaka ina kwenda tunakuwa wakubwa haturudi nyuma halafu usiwape waja usemi tulia dada anakwambia na kuku kukukanya ujue anakupendelea mema go and apologise to Idris you know something be with Idris na utaona faida yake utakuwa mbali sana na kuheshimika

    ReplyDelete
  11. Wema harudi kwa Idris wote hao walikuwa wanatafuta kiki tu hapakuwa na mapenzi hapo Wema akaona wote hao wawili wamefubaa watu hawakujali Wema akaona heri asonge mbele akatafute kiki nyingine mbele kwa mbele, sababu anapenda kiki tu nyie hamuoni mapicha yake akipigwa picha anaangalia vizuri ili watu wamuone kwa ajili ya sifa alivyokuwa na Diamond alikuwa hatafuti kiki wala sifa alikuwa katulia, mambo yalivyooisha na Diamond du inabidi azitafute kiki ama sivyo hawezi kuonekana.Ona Zari alivyotulia akiwa na Diamond zari hana shida wala muda wa kushinda mitandaoni kutafuta kiki

    ReplyDelete
  12. wema dunia haikuelewi i am very fun of yours lakini tabia ya kata mti panda mti you look like a whole now sweetheart idrisa was the best person for you jamani wema wangu una mzimu gani

    ReplyDelete

Top Post Ad