AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Rais amewaambia Clouds TV kuwa analipwa Shilingi Milioni 9.5 amesema akimaliza mapumziko yake huko Geita atakuja kutoa mchanganuo wake pamoja na marupurupu anayopata...
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Wandugu wa Tanzania huyu Magufuli ni wa kufurahia sana kwenye nchi yenu,muna bahati kupata kiongozi mwema sijapata kuona hata rais wa nchi yenyewe niko hatujui malipo yake.
ReplyDeleteMzee jk aliekutangulia alikuwa analipwa dola laki 3 kwa mwezi wewe unatapata hiyo naona mshahara wa raisi umeanguka ghafla ,aya bhana kama unaongea ukweli.
ReplyDeletemmmh mbona ndogo. inabidi tukuongeze kwa kazi ngumu unayoifanya
ReplyDeleteMheshimiwa raisi kaweka wazi mshahara wake ngoja tusubiri akirudi likizo atoe ufafanuzi.
ReplyDeleteNi kweli kataja na huo ndio mshahara wake?au ndio siku ya wajinga tunaitumia sivyo?
ReplyDeletekwakweli tumepata rais ambaye ni msikivu sana... kama ameshalisikia hili na kulijibu papo hapo!!! kweli tumshukuru Mungu kutupatia zawadi hii... Mungu akuongeze neema na baraka tele.. UDUMU RAISI JOHN MAGUFULI
ReplyDeleteLisu na Zitto mmesikia mlichokitaka?Mmeelewa?
ReplyDeleteSasa inakuwaje kwamba kuna watu eti wanapata mshahara mil.40 wakati mkuu wa nchi anapata mil.9.5?Zitto/Lissu hebu tusaidieni,inakuja kweli?