Shamsa Ford: Sina time na Nay wa Mitego, tukionana ni vikumbo tu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shamsa Ford na Nay wa Mitego ni pua na moshi. Shamsa Ford amesema akikutana na Nay wa Mitego hawezi salimiana naye kutokana na mambo ambayo walifanyiana.

Mwigizaji huo wa filamu aliwahi kukiri kwamba hawezi toka tena kimapenzi na staa, ikiwa ni muda mchache toka aachane na Nay wa Mitego.

Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni, Shamsa alisema Nay sio mshikaji wake tena na yaliyotokea kati yao anayachukulia kama ni sehemu ya maisha ambayo alitakiwa kuyapitia ili ajifunze.

“Hukana mkorofi tuliamua tu mahusiano yetu yafike mwisho. Hamna tena ushikaji tena wala ‘ucousin’ ulishaisha kila mtu ana maisha yake, tukionana vikumbo tu,” alisema Shamsa.

Katika hatua nyingine Shamsa amewatakama mashabiki wa filamu zake kuifuatilia filamu yake mpya iitwayo ‘Najuta Shamsa’.

Nafasi za Kazi Bonyeza: www.ajirayako.com
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tushachoka na upumbavu wa story zako na mwanaume huyu huyu kila siku khaaaaa

    ReplyDelete
  2. shamsa anampenda ney kutwa hatoki mdomoni yeye akihojiwa tu ni kuropoka nyaoooo zake

    ReplyDelete
  3. Anachakusema ni ney ney..mbona walipokua wanafurai akua akisema...

    ReplyDelete

Top Post Ad