Sheikh Mkuu Akerwa Tabia za Akina Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salim amesema anakerwa na mastaa wanaodaiwa kuwa na tabia chafu zenye viashiria vya usagaji.

Shehe huyo aliyasema hayo hivi karibuni baada ya kutafutwa na gazeti hili kufuatia kusambaa kwa picha mitandaoni zinazomuonesha mwigizaji Wema Sepetu ‘Madam’ akiwa kwenye pozi la kimahaba na mwanamuziki Diana Exavery ‘Malaika’.


“Vitendo hivyo vinavyoashiria tabia za usagaji ni machukizo kwa Mwenyezi Mungu, pia ni laana na havikubaliki kabisa katika imani yeyote, anayefanya vitendo hivyo anatakiwa kuachana navyo maana havimpendezi Mungu.

“Wasanii wote, wanapaswa kutambua kuwa wao ni kioo cha jamii na watu wanahitaji kujifunza mambo mengi mazuri kutoka kwao na si kuwapotosha,” alisema Shehe Alhadi.


Ikumbukwe kuwa hii si mara ya kwanza kwa Wema Sepetu kujianika akiwa kwenye mapozi ya kimahaba na wanawake wenzake, alishawahi pia kuonekana katika pozi tata na mwigizaji Aunt Ezekiel.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nikweli unachokisema hii si tabia nzuri,lkn nawy shekhe gani ambaye upo mpk kwenye mziki,hv hujui km muziki pia ni kitu ambacho kinakwenda kinyume namaadili ya dini yetu.jiangalie ww unaejiita shekhe kutumika kwako kunapiliza mipaka....tafakari

    ReplyDelete
  2. Usagaji upo Kila mahali duniani
    Tangu ikulu , makanisani, misikitikini
    Hata Pope kasema

    ReplyDelete
  3. Kwani huyu sheikh ni mwanamziki?na una uhakika wa jambo hilo mpaka umamuanika mtandaoni?

    ReplyDelete
  4. Lkn ni kharamu

    ReplyDelete
  5. Allah amewalaani wote wenye kusagana na kufirana

    ReplyDelete
  6. Mxuuu mpaka wema atajwe

    ReplyDelete

Top Post Ad