Idris Sultan Amwandikia Wema Sepetu Ujumbe Mzito

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Uhusiano wao umepitia misukosuko mingi ikiwemo kuachana mara kadhaa lakini Idris Sultan na Wema Sepetu hawajalikatia tamaa pendo lao.

Ni muda mrefu tangu Idris aandike kitu kwenye mitandao ya kijamii kuhusu penzi lake na Wema baada ya kudai wameamua kuuweka uhusiano wao private kwa sasa. Lakini sasa mshindi huyo wa Big Brother Africa ameshare ujumbe mahsusi kwa mpenzi wake huyo.

“I am proud to say the mistakes we have made have not only made us stronger but better, faster, wiser, love too strong, stronger than any of us,” Idris ameandika kwenye picha ya Wema aliyoiweka Instagram.

“We ni kasumbufuuu, unasusasusa, wivu ndo usiseme, kugombana hadi kulia but in the end of the day i will open my arms na utajileta mwenyewe utaniangalia usoni and tell me “I hate you” and lay on my chest. I will smile and say “I love you too”. We have gone through heaven and hell and now you’re my bestfriend, family, wifey, lover you’re my cherry . #WolfQueen.”

Hivi karibuni wawili hao waliingia kwenye matatizo makubwa baada ya video inayomuonesha Wema akimbusu mwanaume mwingine kusambaa mtandaoni. Idris alikiri kuumizwa na jambo hilo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Idris ni mwanaume anaejua nini maana ya kupenda na kusamehe. sio kina kiki za uongo.

    ReplyDelete
  2. mmetumia kila njia kumchafua Wema ili Iddi amuache mmeshindwa. Limewashukaaaaaa.

    ReplyDelete
  3. wanaume wanaojua mapenzi ya kweli wapo. ila wanao prientend kutaka sifa za magazeti wamejaaa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. priented!!??what the hell!!!!!!!!!!

      Delete
    2. Nyinyi mwenzangu miye hizo lugha za watu kama hamkuwa makini wakati mlipokuwa shuleni afadhali muwe mnayatoa mawaidha yenu kwa lugha ya kiswahili sasa hilo neno"PRIETEND"Ulimaanisha"PRETEND"nini wenyewe wenye lugha yao unawaudhi namna hiyo kabla ya kui-publish comment yako irudie kuisoma na kuisahihisha halafu ndio unai-publish

      Delete
  4. acha kujifanya unajua sana english typing error ziko mpaka mahakamani wabongo bana mtihani sana mbona kiswahili tunakoroga mnpiga kimya

    ReplyDelete
  5. Ahsante Anony 12.37 PM.

    ReplyDelete

Top Post Ad