Idris Sultan Asema Amekoma Kuweka wazi Masuala ya Mahusiano yake ya Mapenzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014, Hotshots Idris Sultan, amesema misukosuko aliyoipata baada ya kuweka wazi maisha ya mahusiano yake na maklia wa filamu, Wema Sepetu, imetosha.

Akizungumza na Bongo5 Ijumaa hii, Idris amesema kwa sasa hawezi tena kukaa mbele ya mwaandishi wa habari na kuzungumzia maisha yake ya mapenzi.

“Masuala ya mapenzi yangu sasa hivi sitaki kuyazungumzia kabisa, kwa sababu sasa hivi sitaki kiwe ndiyo kipaumbele changu, nina kazi nyingi sana naweza kuzifanya na focus yangu ipo kwenye vitu vikubwa na vya umuhimu. Kwa hiyo siyo kitu ambacho nitakuwa nakiongelea kivile,” alisema Idris.

Pia Idris aliizungumzia sababu ya kuamua kufanya hivyo na kama kuna matatizo yametokea kati yake na Wema Sepetu.

“Matatizo yalitokea, tukapatana na sasa tupo sawa, hakuna tatizo,” alisema Idris
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. yeye alikuwa hajui?tulishamwambia utoto unamsumbua akikua ataacha.

    ReplyDelete
  2. kama uko bado uko huyo utalia tena!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad