Mateso ya Mrembo Jacklyn Wolper Mpaka Kujikuta Anatoka na Harmonize

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movi au mastaa weng wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba.

Jack Wolper nae ametokea kunifanya ni mwone ovyo baada ya kuanza kutoka na mtoto mdogo Harmonize wakati ametoka kuchumbiwa hivi karibuni, mbaya zaid kujiachia na mambo ya chumbani adhara na yule mtoto wa kimakonde ambaye ni mdogo wake na wala hawaendani.

Lakini jana nilipokua nachek take one ya Zamaradi ndipo nilipo muelewa jack na kuona amepitia mateso makali sana kisaikolojia kupitia yule mchumba wake ambaye anaitwa mkongo, alikua too deeper kihisia kuonesha ni kiasi gani alimpenda yule jamaa na mbaya zaid akimvumilia na kugombana na watu wake wa karibu kwa ajili yake,
Mwsho wa siku jamaa kumbe ni mme wa mtu na mtoto, tena bado yupo karibu na familia yake lakini nia yake amharibie maisha mtoto wa watu dada ang mchaga mwenzangu.

Vitendo vya aibu kumpiga picha za uchi pengine hata kumrekodi na mengine mengi inaonekana amefanyiwa huyu dada na jamaa mkongo.

Jacky naye baada ya kuchanganywa mkongoa akaona ajitulize kwa dogo Harmonize ili afute kumbukumbu ya x wake wakati kimsingi anajiongezea matatizo kwa sababu huyu dogo na kundi lake ni ma womanizer atamtumia nakumdampu huku akiwa kajishushia heshima na kujizidishia mkosi ktk maisha yake.
Sasa angetulia akapiga kazi kwani kwa mwanamke wa kichaga mapezi si kitu kwake zaid ya pesa hasa akisha tendwa. Naomba mtu wake wa karibu amfikishie.

My take:
Wadada wa mjini msikurupukie wageni.

By Baba jay'rose
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii ni myaka tatu nafatilia ao kusom sana magazet ya Udaku na kwamar yakwanz hapa njo mumeandik mambo ya maana. Kwa kweli ushaur huo ni wa maana kwan Jacky nilimpenda sana ten sana na nilikua bado sijapat mda ilinifung safar ya kuja huko tanzania ili nionan nae kutokan na mdaa kwan shul inanishik mno. Ila mwakan namaliz shul na nilikua tayar kufung safar ya kutok huk Sweden ili nimufuat huy Jacky. Kwan nilimpend il mbay ila nilikuwa bado sijamwambia ila kwa sasa mpang wakuja huk umeharibik kwan kutok nahuy under 18 imeniumiz kwel.

    ReplyDelete
  2. Duu kweli jack umenihudhunisha sana!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad