Nuh Mziwanda: Miaka Mitatu ya Kuwa na Shilole Imenipoteza Mambo Mengi

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Nuh Mziwanda amedai katika miaka mitatu aliyokuwa na uhusiano na Shilole amepoteza mambo mengi.

Akiongea na Bongo5 Nuh amesema hakuna zaidi anachokumbuka kwenye uhusiano huo zaidi ya majuto.

“Kuna vitu muhimu sana ambavyo nimegundua ningeweza kuvifanya na ningekuwa nipo mbali sana,” amesema Nuh. Muimbaji huyo amesema uhusiano huo ulimfanya auchukulie poa muziki na hivyo kushindwa kutengeneza hit song.

Anasema Shilole alihakikisha katika muda wote waliokuwa nao Nuh asihit kwa uoga kuwa akiwa staa atamuacha.

“Yule [Shilole] alikuwa na trick nyingi za kunifanya mimi nijionee staa tayari, nijione mimi napendwa na watu au mimi muziki wangu unavuma kumbe bado halafu yeye huku muziki wake unaenda,” amesisitiza.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. its better umeamka kwenye usingizi this should be a lesson kwa wengine first of all she is uncivilised and i think ki umri she looks big so now chapa kazi i like ur song with king Kiba i believe utafika

    ReplyDelete
  2. Eehh ndio unaelewa leo hii????? Utashangaaa sana na mambo ya kuwapalamia mangulubande mamayeeeeee

    ReplyDelete
  3. Fanya kazi bwwge wewe acha kulialia kikubwa kubwa jinga lile limekuvulia chupi

    ReplyDelete
  4. sory kwa shishi baby na yeye amevumilia kukaa na wewe miaka yote ukimfilisi. kuna aliyekulazimisha uwe naye?? kijana uwagi na point kwenye maelezo yako!!!

    ReplyDelete
  5. PIGA KAZI SASA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad