Pichaz: Mabusu ya Gigy Money kwa Idris Zawatoa Povu Mashabiki wa Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Picha zinazomuonesha Gigy Money wakati akimpiga mabusu Idris Sultan wakiwa katika show ya Pool Party iliyofanyika Ijumaa iliyopita katika hotel ya Regency Park jijini Dar es salaam, zinawatoa povu mashabiki wa Wema Sepetu.

Picha hizo ziliibua hisia tofauti kwa mashabiki wa Wema Sepetu na kuanza kumshambulia Gigy. Haya ni maadhi ya maoni ya mashabiki hao.

Izack_da_real
Wee kilasiku wakudandia vya watu? Embu kua mbunifu tafuta wako @gigy_money

Jessy_jay_jacob
Mmmmmh unavyo ji sex sisha kwa @idrissultan kisa kashikilia icho kiuno 😂😂😂😂😂 umeshia kupata manukato yake tu hapo😂😂😂😂😂


Aishafadhir
Jmn wa2 mnajua kukuza vtu khaaa….pic tu mnatoa maneno yote hayo jmn waachen binadamu wenzenu waish maisha yao jmn mnakera kwakwel…..idrs akpga pic na grl s bas wanamahusiano ?wema akpga pic n boys bas wanamahusiano ?2seme nyie hamna urafik na tofaut ya jnsia zenu? Huyu mdada akpost pic na mtu yeyote anatafuta kiki? Kwan yy n nan na idris n nan? Wote wanajuana na ndomana wakajselfiiiii …..Jmn hebu fanyen yenu mnachosha kila sku kuingilia mapenz yawa2 yenu huko yanawashnda

Katoto_lee
Muacheee umalayaa, we na dada yakoo Anaomba kupiga pichaa alafuuu anaanza kujiproud katokaa naeeee😭😭😭😭yaaniii gig ni chefuuuuuuuuu

vivian
Shingo alivyolinyoosha ilimlad tu atafte kiki jaman kweli gigy money gigy elf20 shikamoo ney wa mitego

Pinkylioussalvado
Ahahaha,,shikamoo ney wa mitego(dem ana xura mbaya ila ana bonge LA tak

Chanzo: Bongo5

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu Id nae hatafuti mwanamke wa kawaida mpaka atembee na hao mafuska waliyoshindikana mwisho wake ataukwaa ukimwi tuu huyu

    ReplyDelete
  2. ukiona hivyo hata huyo idrisa ni fuska aliyeshindikana ndio maana anatafuta mafuska wenzake,.so hata yeye anaweza akawa anaueneza huo ukimwi,.

    ReplyDelete

Top Post Ad