Riyama Afunguka Kutomsamehe Mtu Huyu kwa Kumdhulumu Pesa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWIGIZAJI mahiri katika tasnia ya filamu Bongo Riyama Ali amelalamikia madalali wa kazi za wasanii kwa kuwa chanzo cha dhuluma kwa wasanii wanaotengeneza filamu, huku wao wakijinufaisha na jasho lao akiongaea na FC Riyama amedai kuwa ametapeliwa kazi yake ya Kajala.


hajui jinsi gani umepata fedha hadi kuunga unga na kutoa filamu bila ya huruma mtu anakudhulumu mimi kazi yangu Kajala hadi leo nimetapeliwa na mtu aliyeuza kwa Steps amenilipa pesa kidogo na filamu imetoka ina muda sasa,”

Msanii huyu amelalamikia mfanyabiashara maarufu kwa filamu za zaga zaga jina tunalihifadhi kuwa alichukua kazi yake kwa makubaliano kuwa anajuana na msambazaji haiwezi kukaa foleni hivyo angepata malipo yake kwa wakati lakini ameambulia kupewa fedha kidogo huku mtu huyo hapokei simu na kumtishia kuwa yeye anajulikana.

Aidha Riyama amedai kuwa Serikali na vyama vya wasanii viangalie jinsi ya kulinda maslahi ya wasanii wanaibiwa sana,kwani kumekuwa na tabia ya udalali wa filamu kwenda kwa wasambazaji ambao kazi ucheleweshaji ambao unajenga mazingira ya Rushwa.

“Nimekuwa na busara sana kwani nashangaa yeye kulipwa fedha huku filamu ikiwa kila kitu kimeandikwa mimi Riyama Ally ilikuwaje alipwe yeye bila mimi kuwepo?,”anasema Riyama Ally.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ungemtaja hapa huyo mtu ili iwe fundisho kwa hao watu wanaowadhulumu watu, na nyie wasanii hakikisheni mnalipwa hela inayostahili kabla ya kutoa kazi zenu, msikubali kulipwa kidogo kidogo

    ReplyDelete
  2. Filamu hailipi tanzania fanya kazi nyingine za zaida
    watanzania wengi hawana pesa ya kula leo wanunue movie original sh 5000 wakati mitaani inauzwa 2000
    fikiria dada yangu hakuna apendaye ghali

    ReplyDelete

Top Post Ad