Diamond Platnumz Ategua Kitendawili..Amsainisha Rasmi Rich Mavoko Kwenye Lebo yake ya WCB

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamuziki Diamond amemchukua rasmi mwanamuziki Rich Mavoko na sasa atakuwa chini ya lebo yake ya Wasafi ..

Baada ya tetesi nyingi sasa leo rasmi amemtangaza mwanamuziki huyu kuwa chini ya lebo yake

Ameandika haya katika ukurasa wake wa Instagram

From @diamondplatnumz  -  Wolcome to the Family @richmavoko Let's take Bongo fleva to the world!

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa tutaona utampa nini ambacho yeye hana Kenge mkubwa weeeee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamani anonymous 3:00 una usongo na Dai. Duuh. Eidha wewe team mburulaz au aliwahi kukugonga kiaina akasepa ha ha ha. Tafuta ndimu

      Delete
  2. acah roho mbaya ndo mana unaendelea kuwa maskini wewe!!!! mnapinga kila kitu hat amambo ya maendeleo.
    mwney nach ataendelea kuwa nacho mana anawaza kuongeza uwezo wake wa kifrikra, kifedha na maendeleo. kenge kama wewe mnabaki kukaa vijiweni tu na kutumikia babwna uchwara. go back to school, get some education, will do you good farasi mweusi we!

    ReplyDelete
  3. haters mwaka huu kachukueni chupa msage mnywe. alot more is coming.
    sidhani kama mtaweza kuvumilia. nadhani mngejiua tu. you will never even get close to these levels mothe f*****er

    ReplyDelete

Top Post Ad