Faiza Ally: Sipo tayari kurudiana na ‘Sugu’ ila akihitaji mtoto mwingine nipo tayari ‘kumpatia’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muigizaji na mrembo Bongo, Faiza Ally amesema hayupo tayari kurudiana kimapenzi na baba watoto wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya mjini Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, ila yupo tayari kuzaa nae mtoto wa pili.

Akiongea kupitia kipindi cha Kubamba cha Times Fm Jana, bidada huyo Mama wa mtoto mmoja aitwae Sasha amedai hamkumbuki Sugu kwa kuwa hakuwa ‘Romantic’ na alizo nazo kwake ni hisia tu za kupata mtoto wa pili na yeye.

“Sitaki kuzaa na kila Mwanaume, nieleweke wazi sitaki kurudiana na Sugu ila akinifata akidai anataka tuzae mtoto wa pili nipo tayari” Alisema.

Katika ‘line’ nyingine Mama Sasha alisema anajutia kitendo chake cha kutokutumia kinga alipojamiiana na Baba mtoto wake huyo kitendo ambacho kilisababisha kupata Ujauzito.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kinyaa kitupu

    ReplyDelete
  2. MMMMMMMMMMMMMMhhhhh!!!!

    ReplyDelete
  3. Sometimes nyinyi mnaojiita mastaa wa bongo kwenye interview zenu majibu mnayoyajibu duh!bomu tupu sasa kama huyu mwanamke hapo juu sijui point yake ipo wapi au ni nini anachokitaka au ndiyo akina wale wale wa sizitaki mbichi hizi?"BE TRUE TO YOURSELF AND YOU WILL BE REWARDED"

    ReplyDelete
  4. Makubwa haya

    ReplyDelete
  5. Utapata ugonjwa wa kichaa kwa kumuwazia SUGU,hana mpango na wewe tena.

    ReplyDelete

Top Post Ad