Kanali Lubinga: Aliyeandika Habari ya Kuibiwa Kifaru Atasimulia Tumemshughulikiaje

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"WATASIMULIWA WAMESHUGHULIKIWAJE?"

Msemaji wa Jeshi la ulinzi wa Wananchi wa Tanzania amesema aliyeandika habari kuwa Jeshi limeibiwa Kifaru atawasimulia waandishi wengine jinsi atakavyoshughulikiwa

"Kwanza ni waambie Kifaru sio bajaji sio Landrover kwamba unaweza kuibeba Kifaru kinapowaka lazima mlio wake utagundulika. Kama mmeanza kutafuta KIKI kupitia Jeshi hatuwezi kuwavumilia. Hii sio sehemu ya kutafutia umaarufu.

''Sisemi tutamfanya nini?? Ila yeye ndio atasema AMEFANYWA NINI NA JESHI
Na tumeliomba Jeshi la Polisi ituachie wenyewe kesi hii" - Kanali Ngemara Lubinga.

Video:

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Eeeh hili sasa sheshe..hii ngoma nzito

    ReplyDelete
  2. Watanzania tujifunze kuwa na mipaka ya kuongea , Uhuru wa habari tunaoutaka ndio huu, kumbukeni media ndio ilikuwa chanzo cha mauaji ya kimberly, siasa hizi za kupandikizwa chuki zitatuharibia amani. Haya sasa huyu kaingia anga za watu (jwtz) atajuta kitakachomtokea

    ReplyDelete
  3. Inabidi ashughulikiwe, Maana yake amejaribu kuleta Dhana kuwa hata jeshi letu halina usalama kwa hawa wanaotaka kuleta Vurugu za Usalama waliokosa usalama katika Roho zao.. Mpaka wamefika hadi ya kuweza kuwaambia wananchi kuwa silaha nzito kama kifaru zinaweza kuwa mikononi mwa wavuruga Usalama wakati wowote na Jeshi na wanajeshi wamelala... Na bila kuona kuwa hivi sivyo na haiwezekani.. Lakini amediriki kutufukishia hapari Potofu ili muradi wananchi tuweze kuingiwa na wasiwasi kuwa Usalama unaanza kutoweka kama yalivyo na Nia zao za Kuuvuruga.. Jeshi letu liko imara katika kulinda mipaka yetu na kuhakikisha kuwa Nchi haiingiliwi wala kuchezewa na yeyote yule na wakati wote wako macho katuka kutekeleza wajibu wao na Dhamana waliyopewa KUILINDA NCHI YETU kwa Maadui wa NDANI NA NJE YA NCHI YETU. MUNGU IBARIKI TANZANIA YETU YA USALAMA NA UPENDO.

    ReplyDelete
  4. Huyu ni Lazima apewe fundisho na Onyo Kali ambalo itakuwa ni Somo kwake na wenzake wenye chembe chembe za upotofu na kama alikuwa ni Mwandishi basi pia afungiwe Ruhusa ya Uandishi kwa miaka isiyo punguwa 25. ajili ni mpotofu mwenye lengo la kuleta wasi wasi na kuwatoa Imani Watanzania kuwa Usalama Unalega lega. Ambavyo ni vingine na Ukweli halisi. Hongera Jeshi letu kwa Dhamira ya Kumshughulikia Ipasavyo huyu Mpotoshaji... Hapa Kazi tu.

    ReplyDelete
  5. Labda alifikiri ni Boda Boda!!!

    ReplyDelete
  6. Jamani alitaka kufanya Biashara ya Kuuza Vyuma au Kakurupuka tu?

    ReplyDelete
  7. Ashughulikiwe kufatana na sheria na haki za binadamu. Mahakama ndo itatwambia nani mwenye kosa halafu anaweza kuchangiwa tu kama atakua na hatia wala sio issue watz wana umoja sana........Hzo kucha na meno kama hua mnachangiana huko kwenu sio tz...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu hataki hali kwani unafikiri Ni binadamu?? Ni kagazeti Tu..au wewe unafililiaje?

      Delete
  8. Kwani unafikili huyu alikuwaga binadamu?? Hapana Ni kagazeti!!! Likalatasi la kusomaga asubuhi

    ReplyDelete
  9. Huu ndio ujinga wa jeshi na polisi wao wanajiona wako juu ya sheria.kazi kupiga watu bila sababu wakati mahakama zipo.

    ReplyDelete
  10. Mdau hapo kichwani upo Salama?? Au ndiyo zimeshaanza kugonga minara Na kupoteza network!! unastaajabisha uliyaka jeshi lingipie ngoma Na watu wameshakunywa bora bora faru..imetoka getini bila kujulikana au vipi mdau..lazima wajue manake itabidi mtu awahibishwe..sasa huyu jamaa mpaka alippkutanalo iliikiwa mitaa gani vile..itabidi wacheze nae..ngoma nagwa hii...hapa kazi tena kazi kubeaa Chezea Jeshi..hakuona viwanja vya saiI yake!!! HAYA SASA KAZI NI KWAKE!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad