Kijana Shoga au Punga Maarufu Dar Apania Kumpokonya Jux kwa Vanessa Mdee

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Vanessa Mdee ana ushindani mkali katika himaya yake ya mapenzi na Jux. Ushindani huo si kutoka kwa msichana mwenzake, bali kutoka kwa shoga maarufu Instagram, James Delicious.

Punga huyo amepania kumpokonya Vee Money tonge mdomoni. Pamoja na kuambulia mvua ya matusi kutoka kwa watanzania wanaokerwa na tabia yake hiyo, James haoneshi kujali.

“MI MWENZENUUU.. NATABIA MOJAA.. NIKIMPENDA MTU LAZMAA NIMPATEEE. SO WALA MSIHANGAIKEE. KUNIHUKUMUUU… ET DHAMBI. DHAMBI MMEONA HIII TUU EEH.. VEEPE WALE WANAO DHIN. ???? VEEPE WALE WANAO UWAA??? VEEPE WALE WANAO BAKAA??? VEEPE WALEE WANAO SAGANA?? VEEPE WALEE WANAO SALIT NDOA ZAO??? VEEPE WALE WANAO LOGAA..??? VEEPE WALE WANO JIUZAA..????,” ameandika kwenye picha aliyoiunganisha na ya JUX.

“ZAMBI ZIPO NYINGI SAANA.. SO WALA MSIZANII KAMA HAYO MANNENO YEEENU. YANAWEZA KUNIVUNJA. MOYO. YA SARI YANGU NNAYOIANZA. YA KUMUWEKAA KWENYE HIMAYA YANGU. HUYU NINAE MTAKAA.. NAMPEEENDA MPAKA NAJIIHIS KIZUNGU ZUNGUUUU…😂😂😂😂😂😂.. TUKANA N KUBLOCK…🔐🔐🔐🔏🔏🔏🔏🔏🔏.. NGOJA RAMADHAN IISHE,” ameongeza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yani mhhh Mungu turehemu maana mtu anaona usodoma na ugomora sio dhambi kijana uzinzi uwizi kutamani kuua zote ni dhambi hakuna dhambi kubwa wala ndogo dhambi ni dhambi na utahukumiwa sawa sawa na matendo yako lakn naweka lakn nikiwa na maana hakuna dhambi iliyomchukiza Mungu mpka akaangamiza watu wake kama ya usodoma na gomora hii dhambi ilimtia kinyaa muumba kiasi hakuweza kuvumilia...sio mauaji sio uzinzi sio nn kuua uzinzi upo toka enzi soma vitabu na angalia filamu za roman n italy za enz hizo mauji uzinzi kutamani mke wa watu vilikuwepo lakn usodoma ulipoingia kwa wanadamu M/Mungu hakuweza kufungua macho kuendelea kutazama aliowaumba wakimtusi kwa dhambi kubwa..na ndo maana aliwaangamiza sasa wewe kijana Mungu akuokoe tu maana unaona maisha yako kwa mchezo huo ni sawa kabisa ukidangnywa na sayansi kwamba una homon za kike kama ungekuwa na homon nyingi za kike basi ungeumbwa wa kike umeumbwa wa kiume kwa maksudi na sio kuja kuwa laana..uvivu wa kufanya kazi na kuopenda slope vitawaua nyie watoto mwanaume ni kutafuta sio kujichetua kwa ushoga ...stupid mnatia kichefuchefu

    ReplyDelete
  2. huyo hata kama anazo hormoni za kike msishangae hata kwenye sayansi hayo mambo yapo utakuta mtu mwanaume lakini amezaliwa kwenye mwili wa kike, ebu mcheki baba yake na Kim kardashian si alikuwa mwanaume yule mpaka akaoa mke lakini maisha yake yote alijijua ameumbika kiume kimakosa kuwa yeye kazaliwa kiume kimakosa ndiyo maana sasa kajibadili kuwa mwanamke kwa hiyo msimjaji mtu hayo mambo yanatokea sana tu

    ReplyDelete
  3. Pumbafuuu ww angeumbwa mwanamke basi eti baba yake kim...mbwa mchafu mtetea upuuzi unapingana na uumbaji nyokooo...ushetani wa kujibadili ndo useme nilitakiwa kuumbwa mwanamke haya keshakuwa mwanamke abebe mimba basi au aingie hedhi...afanye na hilo nyokolist ww unatetea upuuzi kabisa

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe mpumbavu kumanyoko hapo juu ndiyo namtetea huyo kijana, nyie wabongo akili zenu ni ziro yaani 0, unawezaje kumwita mwenzio shetani? wewe mdau hapo juu wewe ndiyo dini yako ya kishetatani pumbavu wewe na shika adabu yako! kila mtu ameumbika kivyake hata kama dogo anapenda watu wa jinsia moja haimaanishi kuwa yeye ni shetani, kwani Mungu anawependa watu wote ila Mungu hawapendi watu ambao wanajaji watu wengine kama wewe hapo, na ukifa hauendi mbinguni utaenda kwa shetani, pumbavu mkubwa wewe!

      Delete
  4. WATAMNZANIA WENGI MAKUMA WAPUMBAVU NDO MANA WANAISHI KIPBOYA WANAPELEKESHWA NA NCHI YAO HAWAJITAMBUI MWACHENI KWAN MKUND WAKE WENU?????????????????????????????????????MNASHINDWA KUTAFTA PESA MNAHANGAIKIA WENGNE KUMAMAEZENU

    ReplyDelete

Top Post Ad