Mimi Sijaumbwa kwa Ajili ya Kuchezea Wanawake – Harmonize

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkali wa wimbo ‘Bado’ kutoka WCB, Harmonize amesema hana tabia ya kuchezea wanawake hivyo kama wakikubaliana na mpenzi wake wa sasa Jacqueline Wolper watafunga ndoa.
Wolper

Muimbaji huyo ambaye ametoka katika familia ya dini ya kiislamu, ameiambia Bongo5 kuwa dini yake hamruhusu kuwachezea watoto wa kike.

“Kwa sasa kuweka wazi kama tunakaa pamoja au hatukia siyo kitu kizuri cha kuzungumzia kwa sasa,” alisema Harmonize. “Insha’Allah panapo majaliwa tutakaa pamoja kwa sababu mimi sijaumbwa kwa ajili ya kuchezea wanawake,”

Aliongeza, “Nikiwa na mwanamke tunaandaa future, tunakubaliana tukae pamoja, kwa nini tusikae pamoja wakati dini yangu hainkruhusu,”

Harmonize amewataka mashabiki wa muziki wake kutulia kwani kuna mambo mazuri yanakuja.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wolper ataichezea tena dini ya kiislamu na kubadilisha dini tena?

    ReplyDelete
  2. We Harmonize fungua masikio na usiwe kipofu usiyeona Wolper ni muongo huwa anajitetea kuwa mkongo ndiyo kamtumia yeye wakati ndiyo Wolper kamtumia mkongo ndiyo maana mkongo akamshit Wolper anatumia ile teknik eti wanaume ndiyo wenye makosa ili asionekane yeye mwenyewe ndiyo mchotaji hela na ni mchaga huyo, Harmonize Wolper kafurahi saana kukupata kijana kama wewe sababu anajuwa wewe ndiyo njia rahisi sana ya kukuchota hela zote mpaka utatembea na kandambili shauli yako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahaha chezea mchagga weye.

      Delete
  3. Wolper ni rahisi sana kudanganywa na wanaume, yaani anadanganywa namna hiyo mpaka anabadili dini du, hiyo sijawahi sikia

    ReplyDelete

Top Post Ad