Ndoa ya Diamond Platnumz na Zari Hassan inanukia?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Platnumz ameidhihirishia Dunia kuwa Mpenzi wake wa Sasa Zari Hassan si wa Kupita tu

Na ndio maana ujumbe alioandika Diamond kwenye Instagram unaashiria kuwa huenda siku za wao kuwa Mr and Mrs Chibu rasmi zimekaribia.

“A Morning Convo with My Beautiful Wife to be…. taking Blessings on what we about to do today…She always makes me Smile….Love you so Much Mama tee @ZaritheBossLady Nkwagara Nyo,” ameandika Diamond kwenye picha ya mazungumzo kwenye app ya Facetime.

Baraka anazozizungumzia Diamond kwenye ujumbe huo ni za utambulisho wa kitu kikubwa kutoka WCB ambacho licha ya mimi kuwa najua ni nini, kwa heshima na taadhima nawaachia wao wenyewe waumwage mchele muda ukifika.

“Blessed to see another day,
Stay tuned @wcb_wasafi is dropping a new hit today, you surely don’t wana miss this one,” ameandika Zari.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. JAMBO JEMA MKIFUNGA NDOA NA KUACHA KUZINI

    ReplyDelete
  2. Morning Convo gani Kenge wewe nyang'au mkubwa hata haya huna. Huyo demu kimsingi anakutumia tu na hakuna chochote kile unachokipata kutoka kwake zaidi ya hiyo nyapu yenye makunyanzi. Huna akili kabisa bwana mdogo na ndio tatizo la kukosa shule na kubakia kukata viuno kwenya majukwaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inakuumiza eeh?hahahahaha,Umeumiaaaaaaaaaaaaaaaaa kwa roho yako,poleeee weee!

      Delete
    2. Hapo ndipo ninapowashangaa walimwengu,
      kupendana wamependana wenyewe,Daimond ana akili timamu,kaiona hiyo nyapu unayoita wewe ina makunyanzi na mpaka ikamtoa mtoto Tee,wee povu la nini?Gere au?Jiandae tu kula punga na hivi mwezi wa ramadhani umekaribia,hakuna zinaa.

      Delete
  3. Haitusu sisi hata aowe queen Elizabeth wa uk
    Kwani zari Nani na huyo domo

    ReplyDelete
  4. sifikirii kama Domo ni mjinga kiasi hicho amuoe mtu kama bibi yake. kiki zao hazina mshiko. wamechokaaaaaa mbayaaaaaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete
  5. wameona hawazungumziwi wameamua kuja kivingine. hamna cha ndoa wala nn, bado Kiba yuko juu. mnalo mwaka huu. ops! tulitangaziwa bibi vuzi anamimba nyingine iliishia wapi? au na yeye ni muongo? wamepiga kimyaaaaaaaaaaaaaa. another kiki xxxxx

    ReplyDelete
  6. Hahahaaaa hakuna loloteee dai hawez muowa zari hataaa!!!ni Kiki Tu hizo au mmesahau kwa Penny alikuwaga anasema hivyo hivyo?na matokeo yake hakuna chochote...Danganya toto hiyooo...

    ReplyDelete
  7. Hahaha anonymous 2:28 tuliza munkari. Nini iko mbaya between wewe Dai na Zari?? Taka usitake dear ndio washapendana na mtoto wamezaa. Kazi ni kazi ili mradi iwe ya halali. Si bora ukate mauno jukwaani uvute hela ndefu kuliko kuwa kibaka wa waume za watu kama yule mimba feki? Nahisi ni wako wa karibu. Mwambie siku nyingine aki fake mimba achague matambara ya kujaladia. Tumbo la mimba ya wiki 13 haliko vile hata kama una triplets.hi hi hi

    ReplyDelete
  8. Hahahahhah nafwaaaa kiki zimefifia basi wanahanya kurudisha attention...jombaa we damn tired of your madharau and mashauzi...mdogo mdogo tunakusahau mambo yote sahv ni Aje...like sawa sawa mambo vipi...ukinuna kunya tikiti

    ReplyDelete
  9. We ulie cment hapo juu msenge mkubwa matako yako ww! Et anakata viuno jukwaan!vile viuno ndo vnamfanya apate pesa ww unafnya kip kenge ww?rudia tena kukomnt ujnga uone

    ReplyDelete
  10. wacha usenge. wewe Anony 6.52 PM. kama Domo anakupa pesa kazitie matakoni. mkata viuno na ni sawa na hanithi yoyote, halafu anahonga ili awe juu. bibi yake zari kachoka kumsifia siku hizi naona karibu atampa mtoto wake Katunzi.

    ReplyDelete

Top Post Ad