Rais Magufuli waite wapinzani wako ujue wanachotaka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tangu raisi ameingia madarakani,ameshakutana na kada za watu tofauti na ameongea nao isipokuwa kwa upande wa wanasiasa bado,najua si lazima lakini kibusara kidogo angewaita akasikia maoni yao,nafikiri wanafikira nzuri tu ya kuisogeza nchi mbele ila wanapata hasira unapowapuuza,labda tatizo vyombo vya habari vimekuwa ni wapinzani kuliko wapinzani wenyewe,mpaka sasa mazuri mengi umefanya ila kubwa ni hilo,kama ulivyokwisha sema wewe ni raisi wa vyama vyote basi waite hawa mabwana sidhani kama watakataa wito
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndugu yangu umesahau au hukuwahi kusikia msemo wa UKITAKA KUMUUA NYANI USIMWANGALIE USONI unaweza muona kafanana na mtu umjuae
    Njia kuu ya kuwaangamiza upinzani ni kuwapuuza,,,kupuuzwa kunauma kuliko kipigo na ndio maana unaona mara wanaishitaki serikali na hata wengine kujiita maraisi bila ofisi huko kote ni kuchanganikiwa na wanapopuuzwa ndio ndio wanachanyikiwa mno
    Wape pole ukikutana nao waambie wanaikaribia sehemu inaitwa DESTINATION!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ushamba huu
      Tanzania nchi yenye Amani duniani tuna lugha moja
      Na lazima tukubali wapinzani ni watanzania na chachu ya maendeleo kokote duniani
      Tatizo letu Africa chama kinataka kitawale milele
      Hass tatizo ni mfumo
      kwani ndo maafa ya Africa
      Rais anapita tu
      10 years kaondoka
      Na ndo maana bila katiba mpya yote kiini macho

      Delete
    2. anony wa 6.25pm huna lolote toa matongotongo machoni acha ushabiki wa kijinga

      Delete
  2. Si ulimsikia mmoja katika wale alisema MADARAKA / UONGOZI ni kubadilishana.. Imekuwa nguo au....Mimi najua wanachotaka je wewe mwenzangu unajua pia?? ukitaka kumaliza fungua free TV anayejisikia kuwa laivu anakuja kubwabwaja halafu analipa anaondoka.. Hapo itakuwa sura yake imeonekana bila kujali utumbo wake.. Je uko tayari kuanzisha mradi wa laivu not laivu ... Poso poso imetoweka... Hakuna cha zaidi au unajua kingine kwa wakosa Uzalendo!!!! Hapa Kazi tu...

    ReplyDelete
  3. Hata ukipata katiba mpya is nothing, wenzetu Kenya si wanayo katiba mpya? nini kinchoendelea? je kwa katiba yao mpya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi yameisha au, je wananchi wana maisha magumu au mepesi? issue hapa siyo katiba mpya issue ni nani anaongoza nchi, r Maghufuli ananongoza hadi sasa kwa katiba ya zamani mnayoibeza issue ni kuwa ufuatiliaji wa kanuni na sheria ulikuwa mdogo na ndiyo maana changamoto zilikuwa nyingi but katiba ipo vizuri tu.Hata Kenya rais wake ni kutoka upinzani nini kinachoendelea huko? acheni masuala ya katiba mpya wakati ya zamani amjaitumia na wala hamuijui halafu mnata mpya. Hata kama hakuna katiba rasmi lakini mkapata kiongozi muadirifu na mzalendo mtafika mbali kama walivyo waingereza wanaendeshwa na unwritten Constitution. Acheni mawazo mgando na fukuzeni viongozi wenu wala rushwa, maifadi na umimi.ALUTA CONTINUA.

    ReplyDelete
  4. JPM hana muda mchafu wa kukaa na hao mambulula, kwa sasa anaangalia wananchi wake na maisha wanayoishi

    ReplyDelete
  5. kunywa maji mengi kuondoa mikunjomikunjo usoni. plz punguza stress na jazba, huu mchezo hautaki hasira! relax jibaba!

    ReplyDelete

Top Post Ad