Ray J adai ‘uchizi’ wa Kanye West unakaribia kuuvunja uhusiano na mchumba wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ray J hajapenda kuwekwa kwenye video ya wimbo Famous wa Kanye West.

Kwenye video hiyo Ray J aliyewahi kuwa mpenzi wa Kim Kardashian, anaonekana akiwa mtupu amelala kitandani na mastaa wengine. Akiongea na Entertainment Tonight kwenye tuzo za BET, Ray J alisema alishangaa kuwepo kwenye video hiyo na hataki hata kuisikia.

“Don’t put me part of nothing that’s weird, that don’t make sense,” alisema. “Can I grow up?”

Ray J pia alisema kuwa mchumba wake, Princess Love, amechukizwa mno na video hiyo. “I’m engaged. My marriage is all messed up ‘cause of craziness. I’m not part of nothing crazy,” alisema Ray J.

“I walk down a good path. My fiancée tripping. It’s all bad in my world, and that ain’t cool.”

Kabla Kanye na Kim kuwa pamoja, Ray aliwahi kuwa na uhusiano na Kim mkanda wao maarufu wa ngono ulivuja mwaka 2007.

Kwenye video ya Famous, West amemweka pia ex wake Amber Rose, pamoja na mastaa wengine wakiwemo Taylor Swift, Rihanna, Chris Brown.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad