Shamsa: Napenda Sana ‘Chupi’ za Mtumba....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Licha ya baadhi ya mastaa kudai wanavaa nguo spesheli tu, tena zile zilizofungwa kwenye nailoni, staa wa filamu Bongo Shamsa Ford amefunguka kuwa, yeye huwa anapendelea kuvaa nguo za mitumba zikiwemo nguo za ndani ‘makufuli’.

shamsaAkizungumzia nguo anazopenda kuvaa, mdada huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwaye Terry alisema, kuna mtu huwa anampelekea nguo ‘classic’ za mitumba na anachagua zile zinazomfaa, ananunua na kuzivaa.

“Niseme tu ukweli kwamba, napenda sana nguo za mtumba, hata makufuli. Huwa nanunua, nazifua na kuziweka ‘sopusopu’ kisha navaa, sioni shida katika hilo,” alisema Shamsa.

Serikali iliwahi kupiga marufuku uuzwaji wa nguo za mitumba za ndani kama vile makufuli, brazia na soksi lakini bado nguo hizo zimekuwa ni kimbilio kwa watu wengi wakidai zina ubora na ni za kijanja zaidi.

GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. unapenda chupi za mtumba ee utapata magonjwa wewe shauri yako, kama bado hauna ugonjwa au unao?

    ReplyDelete
    Replies
    1. "NYANI HAONI KUNDULE"Je na wewe unavaa za dizaini gani kama siyo mtumba?Hata huku ulaya kwa taarifa yako mdau kuna maduka yanayouza nguo zilizotumika kwa kuvaliwa na vitu vingine tofauti vya nyumbani na kadhalika maduka hayo huitwa"SECOND HAND SHOPS"Na pia kila weekend kuna sale za nguo zilizotumika sehemu hizo huitwa"FLEE MARKET" au"SUNDAY MARKET"kwani hata huku Ulaya kunakotengenezwa hizo nguo na vitu vingine siyo wote wenye uwezo kipesa kuweza kununua vikiwa vipya kwa hiyo sehemu kama hizo nilizozitaja mtu mwenye uwezo wa chini huenda na kupata vitu anavyo vihitaji vikiwa bado katika hali nzuri na kuvinunua kwa bei rahisi ili vikamsaidie na yeye pia"MKONO MMOJA HUOSHA MKONO MWINGINE"Natumaini umenielewa vyema ukimaliza kuisoma hii tukana matusi yako

      Delete
    2. naishi Ulaya sijawahi kwenda kununua nguo secand hand, sababu mimi ni tajiri ninao uwezo wa kununua nguo mpya na chupi mpya

      Delete
    3. naishi hapa Ulaya mume wangu hawezi kunipeleka secand hand hata siku moja, mume wangu ni tajiri sana huwa ananipeleka Paris kufanya shopping ya nguvu

      Delete
    4. wewe mdau hapo juu sijakuelewa umesema kitu gani , hehe

      Delete

    5. AnonymousJune 11, 2016 at 7:57 PM
      naishi hapa Ulaya mume wangu hawezi kunipeleka secand hand hata siku moja, mume wangu ni tajiri sana huwa ananipeleka Paris kufanya shopping ya nguvu=kwani paris sio ulaya?

      Delete
    6. Enter your reply...DUUUUUUUUUUUUU

      Delete
  2. unaweza pia kupenda kondom za mtumba we tumia tu

    ReplyDelete

Top Post Ad