Ajali Mbaya Yaua Watu 11 Mkoani Morogoro

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari iliyoripotiwa hivi punde na kituo cha ITV ni kuhusu ajali ambayo imetokea eneo la Veta Dakawa mkoani Morogoro ikihusisha magari matatu ambayo ni lori la mafuta, kontena lililobeba mchele pamoja na basi.

Taarifa hiyo inasema kuwa watu 11 wamefariki dunia na wengine ambao idadi yao bado haijajulikana wamejeruhiwa.

Tunaendelea kufuatilia taarifa zaidi kuhusu ajali hiyo.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani mungu awalaze roho zao peponi Amen. Wawili ni wa huku kwetu kiponzelo jamani mungu awanusuru na adhabu za kabri. Ila iwe funzo kwa sisi madereva kua tuwe waangalifu barabarani wakati wa kupishana au kuovertake. POleni wafiwa

    ReplyDelete

Top Post Ad