Henry Kilewo:Dar es Salaam ipo Chini ya Chadema/Ukawa, Ndio Maana Analazimisha Serikali Kuhamia Dodoma

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimesikia Mwenyekiti Mpya wa CCM Taifa ambaye alikuwa anagombea pekee ambaye pia alitangazwa na NEC kuwa Rais akisema atahamishia serikali yake Mkoani Dodoma kutoka Dar es salaam..
Ni kweli ni lazima serikali ihamie Dodoma kwakuwa Dar es salaam ipo chini ya Chadema/Ukawa na siyo CCM ndiyo maana analazimisha ihamie Dodoma.. Mkuu unasubiri nini? Ihamishie kesho maana Dar es salaam imewakataa ccm peleka sehemu ambayo Nec wamewatangaza...

Naelewa kuwa serikali kuhamia Dodoma ilikuwa ni adhima ya Mwl.Nyerere ila lilipouzwa kwakuwa Dar es salaam lilikuwa shamba la Bibi ila kwasasa kwakuwa Dar es salaam imeikataa CCM ni lazima Serikali ihamie Dodoma kama ambavyo imekuwa matakwa ya wengi na kupuuzwa... Tunakwenda kuichukua Dodoma 2020 na ndiyo mwisho wenu.....
Henry Kilewo
Katibu Greater Dsm (Chadema)
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani huu si upinzani,ni ushari mtupu.
    Upuuuzi!

    ReplyDelete
  2. UKAWA achene mambo ya kitoto. Watu siku hizi wanajielewa, leteni habari ya Maendeleo ya nchi sio kwa utoto huo!!!!

    ReplyDelete
  3. Wengine jamani kama ndo kwanza mnaanza kujifunza siasa mbona wapo wa kutosha tu pande hiyo!, kwanini hamjifunzi toka kwao? kama arawa sasa ndo anaeleza nini? Kuhamisha makao ya Serikali ni agenda kongwe ya CCM kabla hata wewe hujazaliwa! Kusema ati sasa imepewa umuhimu wa pekee na Mwenyekiti mpya kwakuwa Jiji la Dar limechukuliwa na Upinzani ni pumba tupu tena ni pumbastic. unapotaka kuchangia hoja toa pointi zilizoshiba siyo huu unyambi unatupotezea calorie zetu bureeeee katika kuzodoa upumbavu wako. Tafuta kiki kimtindo mwengine aisee.

    ReplyDelete
    Replies
    1. "pumbastic" noted sire :d

      Delete
  4. Full kuropoka,ndio tatizo la kuwatoa watu milembe kabla ya kumaliza doze.HAPA KAZI TU!

    ReplyDelete
  5. Na wewe kama huna la kuongea kaa kimya,kwani upinzani ni lazima kujibishana?ungekuwa mwanaume wa kweli usingezira bunge,napenda upinzani ila wakati mwingine mnafanya ndivyo sivyo,
    mnatuboa wakati mwingine bhana,aah!

    ReplyDelete
  6. Huyu jamaa pumba kweli.

    ReplyDelete
  7. Kakaaaaaaa povu linakutoka kisa Makao Makuu Dodoma. Mlishazoe Dar es Salaam kila kitu ni Dar es Salaam. Sasa Mzee wa Kazi anahamishia Makao Dodoma. Povu litawatoka sana na mbakie na Dar es Salaam yenu. Sasa sijui kama mtaenda kutafuta viwanja vya nyumba Dodoma? Kaaazi mnayo watu msiopenda mabadiliko lol

    ReplyDelete
  8. Huyu anacho ongea kama hakwenda shule.Badala ya kushukuru watu watapungua Dar yeye anatoa hoja za ajabu. Waache wahame lkn pia wasimsahau Makonda pia.

    ReplyDelete

Top Post Ad