Kajala Aeleza Mzimu wa Kifo Unavyomtesa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii maarufu wa filamu Bongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa, maisha yake ya sasa hayajatawaliwa na furaha kwani anaona kama vile siku zake za kuishi duniani zinakaribia kuisha.
 Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Kajala alisema kuwa amefikia hatua ya kusema hayo kwa kuwa, kila wakati moyo wake unamuenda mbio na wakati mwingine kukumbana na ndoto mbaya zinazomfanya aogope.

“Niseme tu kwamba sina amani kwa sasa kwani nakiona kifo changu, nikilala usiku nasumbuliwa na mzimu wa kifo, nikitaka kusafiri moyo unanilipuka, nahisi itakuwa ndiyo safari yangu ya mwisho, wakati mwingine naahirisha safari kwa hofu.

“Nikiumwa kidogo tu nakosa amani kabisa, naona kama vile sitapona kikubwa namuomba Mungu aniondolee hali hii ndiyo maana nimekuwa mtu wa ibada muda mwingi,” alisema Kajala.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu mwenyewe alisema jisaidie na mimi nitakisaidia so the nicest solution hapo ni wewe haraka sana uende ukamuone doctor anayehusika ili akuhudumie i thinkyou're under pshycological pressure na maybe kuna kitu ulikifanya au kukishuhudia kwa hiyo unakuwa haunted all time na tukio hilo please don't wait too long you've handle the situation right away before it's too late my sister stay strong&all the best

    ReplyDelete
  2. Hilo ni suala la kisaikolojia au unaweza kuwa unaumwa bora uende hospitali upate tiba na uendelee na ibada. Ni kitu kinachotibika wala hana haja ya kukaa na hofu.

    ReplyDelete

Top Post Ad