LOWASSA Awakosoa Chadema Ataka Waachane na Maandamano na Uanaharakati ili Wajipange Kuchukua Dola 2020

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

July 09 2016  Waziri mkuu wa zamani na aliyekuwa mgombea urais kupitia CHADEMA, Edward Lowassa amekutana na umoja wa mameya na wenyeviti wa halmashauri wa CHADEMA.

Wakati akizungumza nao Lowassa amesema chama hicho kinatakiwa kiachane na uanaharakati na maandamano ili kiweze kujipanga kuchukua nchi 2020, Lowassa amesema…….

’Chama cha siasa kazi yake ni kukamata dola basi, hakuna kitu kingine duniani, vision ya chama cha siasa ni wanasiasa kukamata dola, mnapokaa hapa mjiandae kukamata dola na sio kitu kingine, acha habari ya maandamano, maandamano ni process’
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mwandishi hujaelewa alichosema au unataka ku spin????
    Ukisoma vema utaelewa alichosema ni kuwa maandamano ni process. Sasa process kuelekea wapi?? Kushika Dola.

    ReplyDelete

Top Post Ad