MREMA Ataka Watanzania Waupime Utendaji Kazi wake Baada ya Siku 100

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Msamaha kwa Wafungwa (Parole), Augustine Mrema amemmwagia sifa Rais John Magufuli huku akiwataka Watanzania kumpa siku 100 aonyeshe mabadiliko katika magereza nchini.

Mrema aliyasema hayo jana alipohojiwa katika kipindi cha Amka Tuongee kinachorushwa na Kituo cha Televisheni cha Star tv.

“Ni Rais mzuri tuliyempata, ni mchapa kazi, tumpe muda kwa sababu ndiyo kwanza ana miezi minane, lakini ni mchapa kazi kiasi kwamba marais wenzake wanatembea yeye anakimbia,” alisema.

Julai 16, Rais Magufuli alimteua Mrema ambaye ni Mwenyekiti TLP baada ya kumkumbusha ahadi aliyompa wakati wa kampeni eneo la Himo Kilimanjaro kuwa wasipomchagua kuwa Mbunge wa Vunjo atampatia kazi.

“Nina uhakika nitafanikiwa kwa sababu nilipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nilifanya mambo makubwa hadi nikapewa cheo cha Naibu Waziri Mkuu,” alisema.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa tutaupimaje?utaachia wafungwa wengi?

    ReplyDelete
  2. Wewe tunakuamini Ni Mzalendo Na Ni Jembe. JPJM hachagui ila amerdhhishwa Na amejiridhisha..Na kwa wewe unaeleweka!! Karibu Sana Mrema

    ReplyDelete

Top Post Ad