Steve Nyerere Aizungumzia Issue ya Kukosa U-DC, ‘Kama Ningepata Kinondoni ingekuwa Poa zaidi’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya madai kuwa msanii wa filamu, Steve Nyerere alikuwa na matumaini ya kuteuliwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli katika uteuzi wa wakuu wa wilaya (ma-DC) wapya, staa huyo wa filamu amefunguka na kuzungumzia issue hiyo.
Steve Nyerere

Steve Nyerere amesema yeye ni mmoja kati ya watu ambao walikuwa wanasubiria uteuzi wa ma- DC na hajajisikia vibaya kukosa kwa kuwa ana imani bado Magufuli anamwangalia.

“Mtu kama upo smart kwanini usisubirie nafasi kama hizo, mimi ni mtu safi na kazi naiweza,” alisema Steve.

Aliongeza, “Uteuzi nimeusikia, tuombe mungu kama akinifikiria kwa awamu nyingine sio mbaya, tena ningependa Kinondoni, ni sehemu ambayo naona naweza kuifanyia kazi vizuri kwa sababu hata kwenye nafasi za ubunge nilishika nafasi yatatu, kwa hiyo kama ningepata Kinondoni ingekuwa poa zaidi”

Mwigizaji huyo ni mmoka kati ya wasanii ambao walikuwa katika team ya kampeni ya Magufuli katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2016.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Magufuli hatoi u dc Kama njugu
    Kama mlipiga kampeni kwa nia ya kupata u dc nyinyi si wana ccm
    Ni majipu hatuwataki
    Kwa kigezo kipi cha wewe kuwa dc kinondoni
    Shule umekwenda wewe
    Wewe kweli ni ccm
    Unaijuwa ccm wewe

    ReplyDelete
  2. U-DC kutoka kwa Magufuli ni lazima uwe na shule kaka,na ninavyokujua wewe ndio unataka kwenda shule.

    ReplyDelete
  3. pumbavu kwa elimu gan ulionayooooooounafikir magufuli niminga kam ww hahahahaaa

    ReplyDelete
  4. Omba uigizaji ccm
    2020 gombea ubunge

    ReplyDelete
  5. ulipiga kampeni ukitegemea malipo? wewe kweli ni jipu

    ReplyDelete
  6. Buuuulshit! kwa elimu ganialiyonayo? STD7?

    ReplyDelete
  7. Subirini
    Wewe ,wema,irena,wengine wote
    Magufuli bado ana vyeo vingi
    Hajateua

    ReplyDelete
  8. Steve, Nia yako ni nzuri na tumekusikia Dhamira yako.. Tunachoomba toka kwako anza kwa bidii hivi sasa ujiendeleze ili upate Vigezo teule ambapo hata kama unataka kufikiriwa usimtie lawani JPM. Manake amekasirishwa na Wafanyakazi na miundo mbinu Hewa sasa na wewe usije kujaza Hewa kama huna Vigezo stahiki... Jitayarishe na ujipange kupata vigezo stahiki ili tuweze kukufikiria huko awamu wetu ya Sita.. Karibu Steve Mpya.

    ReplyDelete
  9. Steve, Nia yako ni nzuri na tumekusikia Dhamira yako.. Tunachoomba toka kwako anza kwa bidii hivi sasa ujiendeleze ili upate Vigezo teule ambapo hata kama unataka kufikiriwa usimtie lawani JPM. Manake amekasirishwa na Wafanyakazi na miundo mbinu Hewa sasa na wewe usije kujaza Hewa kama huna Vigezo stahiki... Jitayarishe na ujipange kupata vigezo stahiki ili tuweze kukufikiria huko awamu wetu ya Sita.. Karibu Steve Mpya.

    ReplyDelete

Top Post Ad