Tecno Camon C9 yaingia Sokoni Kwa Kishindo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Simu kali ya TecnoCamon C9 yenye uwezo wahali ya juu katika kupiga picha ikiwana Camera mbili (Mbele na nyuma) za Megapixel 13, uwezowa 4G LTE na teknolojia mbalimbali za kisasa imeingia rasmi sokoni. Simu hii ni miongoni kwa simu za kisasa kuingizwa nchini, na inapatikana kwa bei ya kawaida ya Tsh.400,000

Wateja wamefurika kwa wingi dukani ili kujipatia simu hii mpya ambayo ina sifa kede kede iwe ni kwa wale wanaopenda selfie au wale wenye uhitaji wa simu yenye uwezo wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja.


Wateja wakipata ufafanuzi kuhusu Camon C9 katika duka la Tecno kabla ya kujipatia C9

Wateja walipata bahati ya kushinda zawadi mbalimbali kufuatia droo iliyochezesha katika ofisi za Tecno. Wateja wengi waliweza kujishindia zawadi zikiwemo Microwave, feni, subwoofer huku zawadi kubwa kabisa ikiwa ni TV ya nchi 43.


Mmoja wa wateja wa kwanza kununua Tecno CamonC9 akikabidhiwa zawadi ya Subwoofer baada ya droo kuchezeshwa

SIFA ZA CAMON C9

Baadhi ya sifa za Camon C9 inayouzwa katika maduka ya Tecno ikiwa katika rangi 3 tofauti ni hizi;

Camera ya hali ya juu

Kama mpenzi wa picha Camon C9 imekupa Camera unaihitaji kwani inaweza kutambua sura na kupiga selfie kali hata ukiwa gizani. Pia Camera yake ina urembo wa kweli (make-up) ambayo itafanya picha zako kuwa na mvuto wa asili.


Pia Tecno Camon C9 itaondoa issue za selfie kutokuwa kati kwa kutumia camera iliyo katikati ya simu ambayo inaitwa ‘The Perfect Selfie camera’. Simu hiyo ya Camon C9 inakuja na kifurushi cha 10GB kutoka Vodacom Tanzania ambao hivi karibuni wameboresha mtandao wa 3G nchi nzima na kuzindua 4G kwa maeneo ya Dar es Salaam.

Watu wengi ndani ya selfie moja

Tecno Camon C9 ina uwezo wa kujaza watu wengi kwenye selfie moja kuliko simu yoyote duniani. Camera ya C9 inachukua angle kubwa zaidi hivyo kukuwezesha kupata selfie nzuri hivyo kuchukua watu wengi zaidi.




Simu hii inapatikana katika Exclusive Showroom yetu iliyo karibu yako
Mbeya – Boaz Mwakyama
Mwanza – Nyerere Road Round About Pamba Mwanza
Arusha – Block H , Area F – Makongoro Street
Dar Es Salaam – City Mall, iliyopo kona ya Bibi Titi, Morogoro Road..

Unaweza kutembelea kurasa za mitandao ya kijamii ya Tecno kujua zaidi.
Facebook: https://www.facebook.com/TECNOMobileTanzania
Instagram: https://www.instagram.com/tecnomobiletanzania
Twitter: https://twitter.com/TECNOMobileTZ

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad