Diamond Asema Zari Atajifungua Mwezi Disemba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.
Diamond

Muimbaji huyo amesema yeye na mpenzi wake Zari wanategemea mtoto wa kiume.

“Yah kweli mimi ni baba kijacho,” Diamond alikiambia kipindi cha Leo Tena “Natarajia Mama Tiffa anipatie tena mtoto mwingine, atakuwa wa kiume,”

Aliongeza, “Na itakuwa mwezi Disemba mwaka huu! Baada ya hapo sitaongeza tena mtoto mwingine, ni muda wa kula bata sasa ndio unafata na watoto wetu wawili”

Diamond na Zari tayari wana mtoto mmoja wa kike, ‘Tiffa’ ambaye hivi karibuni atatimiza mwaka mmoja.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Komaa Zari, Komaa, zaa tu na hapo ndo utamfunga Chibu hata kuacha masikini na Hilo jumba madale hakikisha jina ni LA mwanao. Maana naona wengi kweli wanampango wa kujizalisha. Ndoa niaje?

    ReplyDelete
  2. Nenda kwa atangaze
    Tanzania mzima
    Haituhusu
    Kama umeishiwa nyimbo
    Funga Domo
    Lako
    Fyuuu

    ReplyDelete
  3. Muoane sio kufanya zinaa tu,binadamu tunatakiwa kua na hofu ya mungu hp duniani ni transit tu,siku moja sote tutaondoka....

    ReplyDelete
  4. BossLeba anadangànywa tuu yeye azae lakini wanaokula vya Domo wanajulikana.

    ReplyDelete
  5. HONGERENI SANA!!!! WENYE WIVU WAJINYONGE!!!!

    ReplyDelete
  6. Who fuckin cares hata akienda kujifungulia huko vichochoroni ni sawa tu

    ReplyDelete
  7. Mwandishi mengine huwa ayanaa haja ww kutuandikia kwani ayatuhusu,akijifungua na asipo jifungua ni suala lake n familia yake.

    ReplyDelete
  8. Hongereeni sana,

    ReplyDelete

Top Post Ad