Diamond Platnumz Amwagia Sifa za Kumwaga Zari Hassan...Aongelea Kuhusu Mimba ya Pili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkali wa smash hit iitwayo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wake wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.

Taarifa hizo staa huyo alizitoa leo August 21, 2016 kwenye mtandao wake wa instagram na kuyaandika haya:
Ukiwa na Mwanamke Mzuri, Superstar, Ambae shilingi Mia miambili haimpigi chenga, Halaf ana akili, Akakuzalia Mtoto wa kike’‘Halaf mtoto nae Star, halaf akawa na Mimba yako Nyingine ya mtoto wakiume.. basi unajionea Mashia Muruaaaaaaaaaaaaaaaa😊😄😍😚😍…Lol yani Hapa najikuta kama sjui Biligeti Mzee wa Kwio😊😆 😘😍💞💕💝 Mi nampenda huyu dada’– Diamond Platnumz
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tatizo ni kwamba mnayasema yale mnayoyataka sisi huku mitaani tuyasikie na kuyaona, lakini yale yanayoendelea chini ya uvungu wa kitanda chenu na mingineyo hatuyasikii na pengine hatutayasikia mpaka pale tu moto utakapowaka.

    ReplyDelete
  2. Haahahahahha asante mdau funika kombe mwanaharamu apite na safari hii chibu kapatikana...

    ReplyDelete
  3. Endelea kuzuga tu

    ReplyDelete
  4. Nasikia kutapika

    ReplyDelete
  5. Well said Mdau hapo juu kunywa chupa 5 nakuja kulipa fasterrrr

    ReplyDelete
  6. Muislamu haruhusiwi kupata motto wa nje ya ndoa nakusikitia kijana unazini na kupata watoto nje ya ndoa na kujisifu utaenda kujibu nini mbele ya mola wako omba magh'afira kwa mola wako na ujute uliyoyafanya halafu watoto hau unawakosesha haki muhimu hafai kuwa imamu msikitini na hawezi kukurithi

    ReplyDelete
    Replies
    1. We acha porojo zako bwana!! Hakuna binadamu haramu haramu ni matendo yao!! Kila binadamu ana haki mbele za Mungu tena anaweza kuwa hata Mtumishi mkubwa tu wa Mungu... Dai wee zaa nae kama wenyewe mnaelewana.

      Delete
  7. hata enzi za Mitume wako waliobeza

    ReplyDelete

Top Post Ad