Jamaa Ampiga Daktari Risasi...Kisa Kaona Uchi wa Mke wake Alipokuwa Akijifungua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

SAUDI ARABIA: Mwanamume mmoja akamatwa na Polisi kwa kumpiga risasi mwanaume mtaalamu wa afya ya uzazi aliyemsaidia mkewe kujifungua, akisema ni haramu kwa mwanamume kuona uchi wa mkewe.

Inasemekana kuwa mtuhumiwa alikasirishwa na wasimamizi wa hospitali waliomruhusu daktari Muhannad al Zabn kumsaidia mkewe kujifungua.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hilo ndio walifikirie kwa nchi zote za ki Islam ambazo zinapinga wanawake kusoma na kufanya kazi.

    ReplyDelete
  2. Kidini mwanamke mja mzito husaidiwa kujifungua na daktari wa kike na manesi wa kike lakini kiutaalamu pale panapotakiwa msaada wa mwanamke kujifungua daktari aliekuwepo humzalisha ikiwa ni daktari wa kike au wa kiume na wengi hupinga kitu hicho.

    ReplyDelete
  3. so, mtu afe ukiuliza daktari wa kike au wa kiume! maajabu.

    ReplyDelete
  4. Je, kidini inaruhusiwa mtu kumpiga daktari risasi kwa kutekeleza wajibu wake?

    ReplyDelete

Top Post Ad