Madai ya Mh.Lema kugoma kula hayana mashiko

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mh mbunge wa Arusha mjini amegoma kula tangu amewekaa maabus zinaendelea kusambaa kwa kasi,hiii ni baada ya maelezo yaliyotolewa na meya wa jiji la arusha bwana Calist Lazaro ambapo amesema Mh.Lema amelazimika kugoma kula baada yakutoridhika na ukamatwaji wake ambao ameutafsiri kama udhalilishwaji mbele ya familia yake.

Nalazimika kusema madai ya muheshimiwa mbunge Kugoma kula niyamsingi ila ameyafanya kwa kukurupuka,kiasi chakukosa mashiko,haswa kwa wanaomshikilia, mh lema Hajatuambia ni nini hasa anataka afanyiwe ili arejee kula kama kawaida,alipaswa kuliambia Jeshi la Polisi kama walimkamata kwakumdhalilisha mbele ya familia yake,basi polisi Wakaombe radhi kwa familia na watoto wake ndio arejeshe hali yake ya kula kama kawaida,

Niwazi watu wote wanaotumia njia hii kudai haki huweka masharti ambayo yakitekelezwa hurejea kula kama kawaida,mh Mbunge hoja yake ya msingi lakini ameishia kusema amegoma kula Kwa sababu amekamatwa kwakudhalilishwa mbele ya familia yake,ingependeza kama angeenda mbali zaidi kuliambia Jeshi la Polisi lifanye jambo gani ili arejee kula kama kawaida.

Baada ya kusema hayo naomba nimpe pole za dhati mh lema,sote tunafahamu maabusu sio pazuri Mh LISU alikaaa siku moja akatupa ushuhuda MAABUSU sio pazuri,LEMA umekaa siku Tatu tunakila sababu kukupa Pole.

Nawasilisha
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aendelee kugoma tu,maana kama atakufa tutamfunika bendera ya chadema halafu tuseme amekufa kishujaa.

    ReplyDelete
  2. HAHAHAHAHHAHA!ANATAKA KUFA KISHUJAAA.

    ReplyDelete
  3. Hili ndilo tatizo la hawa Wanasiasa uchwara. Kila kukicha mnatafuta kiki zisizokuwa na kichwa wala miguu. Mmekuwa mkitafuta kiki kwa Mh.Magufuli na kama hiyo haitoshi mmeamua kwa makusudi tena na kwa kejeli kutafuta kiki zenu kwenye Jeshi la Polisi tena wakati askari wake wameuwawa na majambazi. Jamani hizi kiki nyingine hazina maana. Sasa unagoma kula, unamgomea nani???? Unafikiria zile kejeli zako kwa wale askari marehemu pamoja na zile familia zao zilizokuwa zinawategemea zitakuwa zinawauma kwa kiasi gani. Hizi Siasa jamani ni wito na sio mazagazaga ya vijiweni huko. Pole sana Mh.Mbunge ukitoka hapo salama nadhani utakuwa umepata akili za kutosha na utaelewa kuwa sio kila kitu ni cha kutafutia kiki. Huyo sio Mh.Magufuli bali ni Jeshi la Polisi sasa shughulika nalo umeyataka mwenyewe.

    ReplyDelete
  4. polisi wamuulize nn anataka ili arejee kula sasa kugoma tu halafu hajatoa condition zipi ili ale ni kazi bure

    ReplyDelete
  5. inasikitisha!!!

    ReplyDelete
  6. Watu wengi bado hamjafubguka kisiasa. Wengi wanatumia njia hii.pia kwa nini anyimwe dhamana.na kwa nini asifunguliwe kesi. Kunamchanganyiko na ubabe kiutawala pia kukomoa watu badala ya kufuata sheria za nchi. Mtu unampeleka mahabusu unamfungulia kesi na kumsomea kosa. Mbawasweka watu kama mbuzi kwa muda bila kufuata sheria. Hii inawaamsha watanzania wote kujisomesha. Kujua sheria, na ktendewa haki na kurudisha usawa. Haya mapito tutayaangalia siku moja na kujiuliza yalikujaje.

    ReplyDelete
  7. USILE KWA SIKU 40 ZINATOSHA

    ReplyDelete

Top Post Ad