Shamsa Ford: Baada ya Posa Muda Wowote Naolewa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BAADA ya kutolewa barua ya uchumba na mpenzi wake mpya, Chidi Mapenzi, mwigizaji, Shamsa Ford, amefunguka kwamba wakati wowote atafunga ndoa na mwanaume huyo kwa kuwa mipango yao imeshakamilika.

Shamsa aliliambia MTANZANIA kwamba licha ya kupitia katika changamoto za wapenzi wengi, mpenzi wake huyo wa sasa ndiye aliyeonyesha ushawishi hadi kutaka kumuoa.

“Kwa hatua hii najivunia, hadi mwanaume akushawishi muoane huyo ana nia njema na heshima kwangu,” alisema Shamsa.

Pia Shamsa aliwaeleza wapenzi wa filamu zake kwamba wataendelea kupata burudani zake hata kipindi atakachokuwa ameolewa.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama kawa mila na desturi yako ya nusu utupu na sidhani ulikuwa umevaa chupi naniiii ipate hewa au vipi Shamsha?Halafu mmejuana juzi juzi tu tayari ndoa duh!Hapo pana walakini kesho itakuja kusema ukweli maana leo mtu kapenda kabla ya kuchunguzana vizuri tabia na mambo kibao ambayo kweli mkifunga ndoa je mtaendana au?Kesho ndiyo muamuzi wa yote hayo nakutakia kila la kheri"Bi Chausiku"

    ReplyDelete

Top Post Ad