Trump Amuita Hillary Clinton ni ‘Shetani’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mgombea wa chama cha Republican nchini marekani Donald Trump amemtaja mshindani wake wa chama cha Democratic Hillary Clinton kuwa ‘shetani’.

Akizungumza kwenye mkutano huko Pennsylvania bwana Trump alimshambulia Bernie Sanders kwa kumuachia nafasi Bi Clinton.

Tajiri huyo alisema kuwa Sanders alifanya makubaliano na ‘shetani’ .

Wanachama wa Democrat na Republican wememkosoa bwana Trump kutokana na matamshi yake kuhusu wazazi wa mwanajeshi M’marekani muislamu aliyeuawa vitani nchini Iraq.

Source: BBC
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama bongo
    Dikteka uchwara
    Polisi WA bongo
    Wana siasa ndo walivyo dunia
    Nzima

    ReplyDelete
  2. Watanzania tujifunze kwa hili
    Tunapochaguwa rais tutizame historia yake na scandal zake
    Yeye na mkewe pamoja na family yake

    ReplyDelete

Top Post Ad