WEMA Sepetu na Idriss Sultan Wakomoana..Idriss Mapovu Yamtoka Akataa Kuitwa Shemeji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hali ya hewa upande wa Wema Sepetu na Mpenzi wake Idriss Sultan inaonekana kuwa si shwari kabisa , Baada ya jana Wema Kupost Wanaume wengine anaowafagilia akiwemo Mpenzi wake wa zamani Diamond leo Idriss na yeye amepost kuwa Hataki kuitwa shemeji kuanzia sasa na pia ameongelea kwanini hakwenda kumsupport Wema Sepetu kwenye party ya Usiku wa Vigoma

Ameandika Hivi:

"Sipendi kuona watu wakiingia na kuongea kama wanajua maisha yangu na watu wangu wa karibu, makosa wakifanya wengine mnakuja kwangu mnaanza "Ndio asingefanya vile kama sio wewe kufanya hivi" mnakazana kusema eti naposti wanawake mara ooo porojo kibao. Sina freedom ya kumpost dada angu ? Kweli ? Au rafiki yangu kazindua brand mpya siwezi mpost nikampongeza ? Mnauliza kwanini sijaenda vigoma nimesema because show yangu hakuja hata moja na nimeenda show zake zote na yeye halalamiki because anajua nimesema siendi fair enough mbona hamjaongelea hilo ? I repeat nikikaa kimya is for a pure reason that its not anyones business this is my personal life kama mnaongeleaga fair basi mngefanya kuuliza kwanini mpaka am selling out hajaja. Give me a break sina maisha ya kuigiza lets have respect for each other bana. Na nimesema msiniite shemeji for one big good reason, imekua too much i am a brand na jina idris linamezwa na shem, ningejua this from the beginning nisingeruhusu mniite tangu mwanzo so msiwe kila kitu mnafikiria negative tu. Na sikua na haja ya kuandika yote haya pia 😊✌🏽️ #TusichukulianePoa"
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwendraaaaaaaaaaaaaaaaa huko wewe huna lolote lile umebweteka hapo na huyo Sepenga wako. Ungeenda kwenye hiyo party ya vigoma kwani hiyo ndio classy yako huna lolote lile na haujulikani hata vile vitu unavyovifanya.

    ReplyDelete
  2. Pumbafu wote wawili

    ReplyDelete

Top Post Ad