Witness: Nimejichora tattoo kiunoni ili nisisaliti ndoa yangu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii hip hop hapa nchini, Witness aka Kibonge Mwepesi, ameitaja sababu ya kujichora tattoo ya jina la mpenzi wake Ochu Sheggy kwenye kiuno chake.

Akiongea katika kipindi cha E-News cha East Africa TV, Witness amesema ameamua kufanya hivyo ili kuepuka kumsaliti mpenzi wake.

“Ukiweka tattoo sehemu kama niliyoweka mimi(kiunoni) inazuia, hata unapotaka kumsaliti mwenza wako yule unayekuwa naye inamnyima hamu kabisa na anashindwa hata kukutamani tena,” alisema Witness.

Pia Witness alisema kuwa watu wanadhani kuwa kuolewa ndiyo kumaliza kila kitu lakini kwa sehemu ambayo mapenzi yao yamefikia hakuna kitu ambacho anakihitaji tena kwakuwa mapenzi ni kuungana mkono na Ochu anamsaidia katika kila kitu anachofanya.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hujiamini?Au Hujatulia wewe,maana ukishaapa kifungo cha ndoa na ukazingatia kwa kumtanguliza Mungu wetu mbele nafsi tu itakufanya usisaliti.Mbaya zaidi Kitabu chako cha Mungu kinakataza tatoo.TUBU!

    ReplyDelete
  2. mmmmmmmmmmmmmmhhhh!!!!??????kweli?sidhani!!

    ReplyDelete
  3. Tatoo haiondoi hamu ya mtu kukupiga pumbu, hapo tena umejilengesha na Doggy?...kutokusaliti ni akili yako mwenyewe. Hapo inaonyesha wewe ni rahisi kiasi gani kuvuliwa chupi, ukitegemea mtu apoteze hamu shauri ya Tatoo...hahahaaa utaliwa tu , hata tako!!!...Jaribu!

    ReplyDelete
  4. Duuuh kwel mbona kama unajiamini hatahuwezi jitesa hivo utachora imagine kama ukiachika utachora mara ngap?Plzzz ucjitexe kama unapendwa hamna aja ya kujipiga tattoo things will automatic alert!

    ReplyDelete
  5. Chora ata tatoo ya chatu kwenye ninii yako,usipo jitunza utaliwa tu!!
    JB USA.

    ReplyDelete
  6. Enter your comment...Yaan km ndo umejira hivyo afu ndo unajichanganya unaingia kwenye anga zang naamin utaifuta tuu na utasahau km ulikuwa na ochu sheggy na utajilaumu kwa nin ulijipotezea muda hebu nijarib bas 0713333838

    ReplyDelete

Top Post Ad