Breaking News: Lipumba ni Mwenyekiti Halali wa CUF

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Profesa Ibrahim Lipumba aingia ndani ya ofisi za CUF makao makuu jijini Dar es salaam kama mwenyekiti wa chama hicho baada ya barua ya Msajili wa vyama vya siasa kutoa barua ya kumtambua kuwa bado ni mwenyekiti halali wa CUF.

Akizungumza na waandishi wa habari Jumapili hii akiwa ofisini kwake Buguruni jijini Dar es salaam, Lipumba amesema huu ndio wakati wake wa kuzungumza na wanachama wake juu ya kukijenga upya cha hicho.

“Sasa hivi mimi nitafanya kazi kama mwenyekiti na kuna mambo yanabidi yarekebishwe ndani ya chama na nitayafanyia marekebisho yanayohitajika. Lakini pia tutafuata katiba na kanuni za chama kuhakikisha nakijenga chama chetu,” alisema Lipumba.

Alipoulizwa kuhusu hali hiyo, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro alikiri kupokea barua ya msajili.

Hata hivyo, Mtatiro amesema kwa vyovyote vile msajili wa vyama vya siasa hana mamlaka ya kuingilia maamuzi ya vikao vya chama chochote cha siasa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aibu sana mambo msomi wewe na msajili mnayofanya

    ReplyDelete
  2. Karibu sana Mh Lipumba. Tulianza kupoteza Dira Hapo nyuma..Lakini baada ya Kurejea kwako Chama kitaimarika. Na ushirikiano tutakupa unaostahili.. karubu zana tufanye kazi.. pamoja kuinusuru chama na wanachama. Hapa Kazi tu..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umetumwa na ccm nini?watu tumeongeza viti vya wabunge na madiwani sasa huko kuyumba kumetoka wapi?huyu mzee ni yuda kwa nini asitafute kazi nyingine ukizingatia yeye ni prof?mzee nyoka huyu mbona mwenzie slaa kuchukua hela ndefu ya ccm ametulia?

      Delete
  3. Ametumwa huyo siyo bure,msomi mzima aliyejiuzulu mwenyewe amekomalia nafasi alioachia.

    ReplyDelete
  4. Nimeamin kuna watu na viatu walah haya mambo nayaona tz tu..duuuh i lost my words

    ReplyDelete
  5. Pombe pombe wewe na CCM yako unatuharibia nchi
    Kwani hakuna boko haramu watu wachache wasituaribie inchi uwa wote hawa

    ReplyDelete
  6. PRO AIBU!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Kumamayo rais
    CCM
    Shein
    Nyote mu wasengeerrrrrerr
    Nikameteni na mimi
    Fyuuuuuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. PUMBAVU ZAKO HAYO MATUSI UMEMTUKANA BABA YAKO, MAMA YAKO, SHANGAZI YAKO, BABA MDOGO WAKO, NA WENGINE WOTE WANAOKUHUSU, HUNA AKILI

      Delete

Top Post Ad