China kujenga barabara ya kulipia kutoka Dar hadi Dodoma

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

China kujenga barabara ya kulipia kutoka Dar hadi Dodoma, Imekaaje Hiii
Toa Maoni yako hapa chini
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Msiruhusu nchi za kigeni kufanya majaribio na muitumia Tanzania ambayo bado watu ni maskini kwa faida zao na nchi zao kwanza. Chinese need to be feared.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Labda tu nijaribu kukumbusha.. Hii awamu ya Tano . kwa jinsi tulivyo jipanga..Wala usiwe na hofu au wasi wasi.. Kila hatua tunayo ichukua kwanza ujue Magu ameshatupiga maswali si chini ya 150. na tunampa feasibility study yake na benefit kwa mwananchi wa kawaida atanufaika vipi na nchi itanufaika vipi na tutagenerate kiasi gani na kuavoida unnecessary waste of resoucres /time and money.. na hatujibu hapo hapo nalifanyia kazi yeye mwenyewe na wenzake. baada ya hapo ndiyo tunalikalia na jopo la wataalamu katika kipindi cha maswali na majibu with figures.. Si unamjua Magu.. Yeye hayafumbii macho mambao kama haya. Na senti tano anataka kujua tunaitumiaje na inaleta faida gani kwa mnyonge. kama alivyo tuahidi kwamba hato tuangusha.. Ni kweli ameshika hatamu. Maelezo na elimu tutaitoa. lakini jua si hilo tuu nchi itaendelea kupata faida na ustawi wa kumaendeleo ndiyo uliolengwa hapa. Kinacho takiwa ni uelewa/ Ushirikiano na Uvumilivu... Hapa Kazi TU... Mungu amlinde Raisi Wetu JPJM

      Delete
  2. Ndugu zangu na wenzangu. Hii inaitwa ni njia mojawapo ya kustawisha na kuendeleza jammi katika kuwapatia Ajira na ustawishaji wa halmashauri husika inapo pita hiyo njia. Hivi ni vitu vya kawaida na vinafanyika sehemu nyingi duniani na barani ni kwetu. Kwa sasa Tutayaona ni Mageni halafu tukisha zowea na kuona Manufaa yake katika Tanzania yetu Mpya Tutaelewe na Itapunguza Uzembe/Wizi/Uzururaji na mendine mengi indirectly. It will be a Toll Road. Mkitaka kuelimishwa faida zake kwa Jamii tuko tiyari kuwapeni. Hapa Kazi Tu.

    ReplyDelete
  3. Ndugu zangu na wenzangu. Hii inaitwa ni njia mojawapo ya kustawisha na kuendeleza jammi katika kuwapatia Ajira na ustawishaji wa halmashauri husika inapo pita hiyo njia. Hivi ni vitu vya kawaida na vinafanyika sehemu nyingi duniani na barani ni kwetu. Kwa sasa Tutayaona ni Mageni halafu tukisha zowea na kuona Manufaa yake katika Tanzania yetu Mpya Tutaelewe na Itapunguza Uzembe/Wizi/Uzururaji na mendine mengi indirectly. It will be a Toll Road. Mkitaka kuelimishwa faida zake kwa Jamii tuko tiyari kuwapeni. Hapa Kazi Tu.

    ReplyDelete
  4. train za mwendo kasi,ndo mpango mzima

    ReplyDelete
  5. ni ngumu sana kulipia tena maisha yenyewe magumu ulipe tax na kulipia njia tena labda wafafanue nchi yetu watakuwa benefited kivip au public private partnership kwa makubaliano baada ya muda then nchi ikabidhiwa mradi hapo sawa la sivyo kama hakuna faida kwa nchi bora wasijenge

    ReplyDelete
    Replies
    1. Labda tu nijaribu kukumbusha.. Hii awamu ya Tano . kwa jinsi tulivyo jipanga..Wala usiwe na hofu au wasi wasi.. Kila hatua tunayo ichukua kwanza ujue Magu ameshatupiga maswali si chini ya 150. na tunampa feasibility study yake na benefit kwa mwananchi wa kawaida atanufaika vipi na nchi itanufaika vipi na tutagenerate kiasi gani na kuavoida unnecessary waste of resoucres /time and money.. na hatujibu hapo hapo nalifanyia kazi yeye mwenyewe na wenzake. baada ya hapo ndiyo tunalikalia na jopo la wataalamu katika kipindi cha maswali na majibu with figures.. Si unamjua Magu.. Yeye hayafumbii macho mambao kama haya. Na senti tano anataka kujua tunaitumiaje na inaleta faida gani kwa mnyonge. kama alivyo tuahidi kwamba hato tuangusha.. Ni kweli ameshika hatamu. Maelezo na elimu tutaitoa. lakini jua si hilo tuu nchi itaendelea kupata faida na ustawi wa kumaendeleo ndiyo uliolengwa hapa. Kinacho takiwa ni uelewa/ Ushirikiano na Uvumilivu... Hapa Kazi TU... Mungu amlinde Raisi Wetu JPJM

      Delete
  6. Hiyo ya kulipia itakuwa inaangaliwa vizuri kuliko ya kutolipia ili sasa watu wote wahamie kwenye ya kulipia

    ReplyDelete

Top Post Ad