Faiza Ally Afunguka Kumpenda Sugu Kutoka Moyoni..Adai Haogopi Kuchekwa Kwa Kigeugeu Chake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Faiza Ally Amefunguka haya Katika ukurasa wake wa Instagram:



Leo nimeamka akili yangu inawaza mapenzi tu... Mkatae mkubali mapenzi yana nafasi kubwa sana ktk maisha... Na mapenzi hayana baunsa...😅 Mimi nampenda sana baba mtoto wangu - Nina mpenzi yes lkn nampenda yeye zaidi - ana mpenzi Sawa lkn hainizui kuongea hisia zangu... Nachekwa Sawa lkn wanao nicheka hawako ktk maisha yangu Kwa hiyo sio muhimu sana na sioni aibu kusema hisia zangu Kwa mtu ninae mpenda... Nampenda Kila siku Kila mwaka Na sijui nta Acha lini kumpenda.... Ila naamini Kama Mungu alivyo mleta-alivyo muondoa Ndio atakavyo nisahaulisha Na kuniletea mwingine au pengine kum rudisha .... Mapenzi kwangu yana sound hivi➡️➡️➡️➡️ muonyesha unampenda - ajue unampenda- kuwa mkweli- usimuogope- simama Kwenye ukweli- kuwa halisi Na uache maisha yaendelee - usilazimishe- usijikaze -usijifiche- usijifanye ..... Mimi ni Karatasi jeupe nisome lkn ni hiari yako kunielewa sio lzm unielewe lkn mwisho wa siku silazimishi yote heri ..... Nakupenda sana baba mtoto - pengine una niona uchafu au sina dhamani lkn moyo wangu ndio ume kuchagua - usinihukumu -usinichukie iko siku Mungu ataleta heri zake ntakusahau utapata Amani Na mpenzi wako Na mm Na wangu au labda ntakufa hutanisikia Tena ila Kwa sasa Naomba uniache vile najisikia .....Nakupenda Joseph Tanzania inajua.... Mama yangu anajua... Mtoto wetu anajua na nitaka dunia ijueeeeeeeeeee😭 Nakupenda sanaaaaa baba Sasha - usiniulize Kwa nini.... mm mwenyewe sijui Nakupenda tu hivyo yani ........ Tag him mwambie mama Sasha anakupenda zaidi Kila siku Na hakunaga Na sizani Na Kama unapendwa zaidi ya ninavyo kupenda ! Na Kama unapendwa Basi una bahati sana mshukuru Mungu Maana Natamani kupendwa Kama ninavyo kupendwa.....💔💔💔 Acha nichoreke haina kwere kuchoreka Kwa ninae mpenda sio kesi ...😭
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu dada anatakiwa kusaidiwa vinginevyo muda si mrefu atachanganyikiwa.

    ReplyDelete
  2. Chizi wewe,haya maneno ulitakiwa umuambie baba Sasha siku zote za maisha hata mara baada ya kuondoka nyumbani kwake,na sio kumtukana mara ana uume.....mara anakuf........... mara ooooh nininini,labda angekuelewa.Pole,andika maumivu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na hata kama umepata mwanaume mwingine ujue huyo ni mpitaji tu kwa kuwa huna nidhamu.

      Delete
  3. kaishiwa kaona bora ajipendekeze kwa Sugu. mwenzie anakula kimyakimya.

    ReplyDelete
  4. malaya asiosoma wala hamna wa kumtamani, labda amuibie shiga yake Zama.

    ReplyDelete
  5. Nahisi utotoni hakufunzwa kuvaa nepi

    ReplyDelete
  6. Hahahahah!hii kali,Unaempenda unawezaje kumtusi vile?

    ReplyDelete
  7. Kwanza vaa vizuri

    ReplyDelete
  8. Shida akili ndogo. Kwa uvaaji wa kikahaba hivyo utamzalilisha mwana Hip Hop. Kavae kwanza halafu ujipange umpigie simu umweleze yeye, huku mtandaoni sio court ya kusikiliza migogoro ya ndoa.

    ReplyDelete
  9. Ujifunze kuweka akiba ya maneno ya mpenzi wako hata kama mmekorofishana,sasa hapo unajichoresha tu japo umesema hujali watu kukuita/kukucheka kuwa kigeugeu.

    ReplyDelete
  10. Atachanganyikiwa soon huyo, alivyokuwa anamtukana mwenzake matusi ya nguoni, na kumuaibisha soon pilau linaliwa atajinyonga.









    ReplyDelete
  11. Amjagundua tu kitaa life gumu anataka kujirudisha kwa muheshiwa tu akale posho

    ReplyDelete

Top Post Ad