BREAKING News: Simba, Yanga Marufuku Uwanja wa Taifa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amezifungia rasmi timu za Simba na Yanga kutumia uwanja wa Taifa mpaka pale zitakaporuhusiwa tena na Serikali.

Nape ametoa amri hiyo leo Jumapili ikiwa ni siku moja baada ya mashabiki wa klabu ya Simba, kung'oa viti vilivyopo kwenye majukwaa ya uwanja huo kwa kile walichokidai kupinga uamuzi wa Refa, Martin Saanya aliyechezesha mechi hiyo.

"Simba na Yanga hawatoutumia tena uwanja huu mpaka pale Serikali itakapoona kuwa mazingira yanaruhusu," alisema Nape.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bola wafungiwe maana wote ni washenzi pumbavu zao

    ReplyDelete
  2. Haji Manara nae awajibike kwa hili,maana alishatamka atawachagiza mashabiki wafanye fujo.

    ReplyDelete
  3. Ni umaskini na ufukara wa TFF,AU?
    kwa nini msiweke adhabu ya kuzuia mashabiki wa timu husika waliofanya fujo kuingia uwanjani wakati timu yao inacheza?NINA UHAKIKA KWA ADHABU YA KUTOINGIA UWANJANI ITASAIDIA.vinginevyo hali itakuwa inajirudia.

    ReplyDelete
  4. Hizo timu nyingine zikija kucheza uwanja wa taifa wanategemea mashabiki haohao wa Simba na Yanga, je nawao wakisusa kutoingia uwanjani, itakuwaje??

    ReplyDelete

Top Post Ad