Video: Godbless Lema Avuruga Hotuba ya RC Gambo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema amepinga vikali hotuba iliyokuwa ikisomwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi katika hospitali ya mama na mtoto inayojengwa eneo la Burka nje kidogo ya jiji la Arusha.

Hayo yametokea leo Oktoba 18, 2016 ambapo shughuli hiyo ilisimama baada Lema kuvuruga hotuba hiyo na kuipinga vikali akidai imejaa upotoshwaji na siasa ndani yake.

Lema alikuwa akipaza sauti kubwa akisema yeye ndiye aliyetafuta eneo hilo la ujenzi kutoka kampuni ya Mawala Advocate. Bofya hapa kutazama video
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona kama bangi sanaa?

    ReplyDelete
  2. gambo hafai hafai msenge mkubwa yeye na makonda wake fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  3. ccm wewe magu elimu zenu zinatia wasiwasi
    bora ya msoga wenye phd za heshimaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  4. hafahiiiiiiii hafahaiiii
    senge kubwa yeye shoga yake makondaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
    wasenge wakubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. pumbavu zako we anony wa 3.17 wewe ndo msenge no. 1 tena hanithi sana kwa nini usitumie lugha nzuri mpaka uwatukane chiziiiii wewe, pumbavu zako

      Delete
  5. Hata kama Mkuu wa mkoa alichokua akisema c cha kweli,Lema alipaswa any amaze kwanza baadae some nafasi ya kupangiwa au siku nyingine longer na wananchi wake.Sasa hapo ndo nn hiyo?

    ReplyDelete

Top Post Ad