AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kinachonisikitisha na hata kunishangaza pia ni Kitendo cha hawa hawa Dada / Mama zetu wao kuelekeza tu ' lawama ' zao kwa ' mahausigeli ' pasipo hata wao wenyewe ' kujitathmini ' ni wapi huwa wanakosea kwani ' kimantiki ' haiwezekani Mahusiano yao au Ndoa zao ziharibiwe bila sababu ' maalum '.
Katika chunguza chunguza yangu ya ' kutukuka ' kabisa ya kutaka kujua labda ' tatizo ' ni nini niliamua kulifuatilia ' kiumakini ' mno hili jambo na nikagundua mambo kadhaa ya ' kipuuzi ' ambayo Dada zetu walio katika Mahusiano au Mama zetu walio katika Ndoa zao huyafanya ambayo kwa kiasi kikubwa Mimi binafsi nawasapoti 100% ' mahausigeli ' kwani wanatumia ' upopoma wa kutukuka ' unaofanywa na hawa wenye Wachumba / Waume zao.
Mambo yenyewe ya ' kipuuzi ' ni kama yafuatayo:
Mama anaenda kuajiri ' hausigeli ' mzuri kuliko hata yeye tena kwa kila kitu.
Mama anaruhusu ' ukaribu ' wa ' kupitiliza ' wa Baba / Mchumba na ' Hausigeli '.
Mama anamruhusu ' Hausigeli ' kuvaa ' vimini ' mbele ya Baba / Mchumba.
Mama anaruhusu ' Hausigeli ' amfulie ' Nguo ' Baba / Mchumba.
Mama anaruhusu ' Hausigeli ' awe na mazoea ya kuingia ' Master Bedroom '.
Mama anaruhusu ' Hausigeli ' aandae ' Chakula ' cha Baba / Mchumba huku yeye akiwa ' busy ' anatizama ' Isidingo ' na ' akitiririka ' na WhatsApp.
Mama anajifanya kuiga mambo ya ' kizungu ' kwa kuonyesha ' manjonjo ' yake ya ' Kimahaba ' tena mbele ya ' Hausigeli ' kitu ambacho huwafanya ' Mahausigeli ' wengi kuweza kuangalia ' udhaifu ' wao na pale Wao wakija ' kutongozwa ' tu akina Baba / Wachumba huwa hawakatai na ikifika wakati wa ' kubanduana ' huyu ' Hausigeli ' atamfanyia Baba / Mchumba ' manjonjo ' yake yote hivyo kumfanya kuonekana bora zaidi na hapo ndipo mwisho wa ' mahaba niue ' kwa akina Dada / Mama na kubaki kulaumu tu na kulia lia.
Wadada wa Kazi wote nchini Tanzania ' ninawasifu ' sana na nawaombeni endeleeni hivyo hivyo kuzitumia ' fursa ' hadi hawa akina Dada na Mama ' wakome ' na ' wanyooke ' kwa ' kuziharibu ' Ndoa zao / Mahusiano yao.
GENTAMYCINE
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mimi house girl wangu ni mtamu kuliko mke wangu, tena kwasasa ninampenda zaidi kuliko mke wangu.
ReplyDeleteWewe ni malaya tu, maana hata mkeo ulimuona ni mtamu kuliko aliyemtangulia!! fuska wa head.
DeleteNGOJA MKEO ALIWE NA HOUSE BOY NDIO UTAJUA UTAMU UKO WAPI
ReplyDeleteUmenikumbusha hiyopicha juu siile ya mwanafunzi wa SAUT miaka4 iliyopiya walijiachia mtandaoni
ReplyDelete