Mapenzi Sio Kujifungia Chumbani tu na Kufanya Ngono

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mapenzi ni ubunifu, unaweza ukaona kitu kidogo lakini kitu hiko ukikifanya kwa mlango wa mapenzi kinakuwa kikubwa na hakiwezi kusahaulika kirahisi kwa mwenza wako. ukizungumzia mapenzi watu weusi wengi tunajua mapenzi ni kujifungia chumbani na kutiana tu, hapa ndo wazungu wanapotupiga bonge la gepu pale wakiwakamata dada zetu.

Basi ili kufanya mapenzi yako yaonekane mapya kila siku si lazima kila siku mjifungie chumbani kufanya staili mpya au sio lazima kila siku mtoke kwenda kula dina sehemu nzuri.

Unaweza ukamchukua mpenzi wako ukaenda nae sehemu ilio tulivu kisha mkaanza kusoma vitabu(hii inategemea na nyie wawili mnapendelea vitabu vya aina gani ila sio vya kemia au physics

Inapendeza sana mkiwa mmekaa pamoja mkisoma vitabu, mkabadilishana mawazo kwa kile kilichoandikwa kwenye kitabu. inaweza mkaenda beach(tulivu) au sehem ambayo unahisi mtakaa mtatulia bila usumbufu, mkasoma vitabu vyenu taratiiibu.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha uongo wewe mbunifu wa hizo habari zako zisizo na ukweli halisi wazungu wazungu hata huku ulaya kila siku kuna mifarakano heavy ya mahusiano ya ndoa mademu divorce kati ya mke na mke hizo kesi zipo kibao kwenye mahakama za familia kwa hiyo siyo haki kabisa kuwalaumu watu wa huko nyumbani "TEMBEA UONE UONE DUNIA ILIVYO"au pia walisema"DON'T JUDGE A BOOK BY LOOKING AT THE COVER YOU HAVE TO TAKE A BOOK AND HAVE A LOOK upo hapo?Alamsiki

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa kweli post yako nimeipenda. Muandishi atembee aone au hata agoogle divorce rate ya western countries lets say USA kisha aangalie divorce rate ya hapo nyumbani ataona. Nimekaa na hawa wazungu miaka mingi sana na wanawake wa kizungu walioolewa ni rahisi sana ku cheat ( I'm guilty on that one cause huwa nawabaruza sana}

      Delete
  2. Mzungu na muafrica tunatifautiana rangi tu lakn tabia hisia usingizi yan zile sense tupo sawa tu wazungu wapo wahuni wapo wakatili wapo waongo wapo matapeli yani kama sisi tu wapo maskin wapo matajir wapo walio watulivu kwenye ndoa wapo wasalit...tunafanana nao kila kitu kasoro rangi labda na maendeleo kwenye bara lao wao wako mbele sio ndo tunajongea...the rest we r equal

    ReplyDelete

Top Post Ad