Mwana FA Alaani Bifu za Wasanii Zinazoelea..Adai Busara Inahitajika la Sivyo Watatoana Macho

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwana FA ameonya kuhusu bifu zinazoendelea kwenye muziki wa Bongo Flava kwamba zinakoelekea, watu wanaweza kufanyiana vitu vya hatari zaidi.
Akiongea kwenye kipindi cha 360 cha Clouds TV jana, FA amesema busara zinahitajika kumaliza tofauti baina ya wasanii wanaohusika kwenye bifu hizo.
.
“Tufike mahali kwamba tujiwekee mipaka kama binadamu kwamba hivi vitu ambavyo tunaambiana kama ungekuwa unaambiwa wewe na familia yako ingekuwa sawa? Maana yake tunavyoelekea tutatoana macho hivi karibuni,” alisema rapper huyo.
.
“Watu pekee wanaoweza kufanya ni wao wenyewe wanaohusika. Nafikiri watu wawe humble, warudi chini kidogo, wanaelea sana juu, turudi chini kidogo, tujikumbuke sisi nani na kama malengo yetu ni kutoana roho ama kuendelea kufanya muziki tuweze kujitengenezea vipato,” amesisitiza.
Ushauri wa Mwanafa umekuja katika wakati ambao uhasama kati ya kambi ya Diamond na Alikiba unazidi kushika kasi.
Rapper huyo ameachia video ya wimbo wake mpya #DumeSuruali aliyomshirikisha vanessamdee.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Big up mwana FA umeongea kitu cha maana sanaa,Domo amezidi sanaa mwisho wake atakuja uwawaa tuu ni mshenzi sana,anasema vitu bila kufikiria kwa kujifanya yeye ni mtu mkubwa sanaaa,mxiuuu kauwawa Michael Jackson sembuse yeye mshenzi kabisaa!!

    ReplyDelete
  2. Big up mwana FA umeongea kitu cha maana sanaa,Domo amezidi sanaa mwisho wake atakuja uwawaa tuu ni mshenzi sana,anasema vitu bila kufikiria kwa kujifanya yeye ni mtu mkubwa sanaaa,mxiuuu kauwawa Michael Jackson sembuse yeye mshenzi kabisaa!!

    ReplyDelete

Top Post Ad