Nape Afunguka Kuhusu Kupotea Kwa Pesa Mtaani...Adai Serikali Inajua na Haikutokea Bahati Mbaya....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nape Nhauye
Waziri Nape Amefunguka Kuhusu malalamiko ya Watu kuwa pesa zimekuwa ngumu kupatikana mtaani .....Amesema Haya :

“Serikali kuu tunatambua kwamba yapo maneno kwamba pesa mtaani haipatikani kweli si kweli?” alihoji. “Kuna watu wanasema hali ngumu sana mtaani tumekuwa hatujui limekuwa tatizo, lakini kwasababu hii tunajua na haijatokea bahati mbaya. Tunataka turudishe nidhamu ya pesa na matumizi ya pesa katika jamii yetu ili kazi halali ziheshimike.”
“Tulianza kufikia mahali kila mtu alikuwa anatamani afanye kazi za dili na hizo ndizo zilizokuwa zinaongeza mzunguko wa pesa ambao huzitolei jasho,”
 Alisema hayo wakati akizungumza katika mkutano wa kuanisha fursa za biashara uliondaliwa na ubalozi wa India ukishirikiana na TCIAA mkoani Tanga
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sawa Kabisa mheshimiwa DIli ...Dili tena na wala hatutaki kusikia Dili DILI.. Dili zimeliumiza Taifa na kuondosha Heshima .. Fanya Kazi kwa nguvu kazi ili usishi. Team yenu ni kabambe mkiongozwa na Mtoto wetu Magu. Ambae ameichukia Dili na Wala hataki kuona au kusikia DILI. Katima awamu yetu hii ya Tano .. DILI NI MAREHEMU. Hongereni sana . Hii ndiyo Tanzania Mpya Tunayoitaka.. Dili iko offside na Kadi nyukundu tumeshaitolea.. Hapa Kazi Tu..

    ReplyDelete
  2. sawa Kabisa mheshimiwa DIli ...Dili tena na wala hatutaki kusikia Dili DILI.. Dili zimeliumiza Taifa na kuondosha Heshima .. Fanya Kazi kwa nguvu kazi ili usishi. Team yenu ni kabambe mkiongozwa na Mtoto wetu Magu. Ambae ameichukia Dili na Wala hataki kuona au kusikia DILI. Katima awamu yetu hii ya Tano .. DILI NI MAREHEMU. Hongereni sana . Hii ndiyo Tanzania Mpya Tunayoitaka.. Dili iko offside na Kadi nyukundu tumeshaitolea.. Hapa Kazi Tu..

    ReplyDelete

Top Post Ad