Naumia Sana Moyo Kwa Nayosikia Kuhusu Mchezo wa Kuruka Ukuta mpenzi Wangu Anaofanya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kupenda kunaumiza kama hujawahi kupenda na usitamani kupenda kwa kweli ..na mpenzi wangu kwa kweli mtoto mashalaaa kaumbika na kajaliwa kiukweli yeye ananipenda sana kuna siku alinitamkia chochote nachotaka atanipa ili mradi nisimpoteze ..

Sana naumia maana nilipata habari na mtu wa karibu kua mpenzi wangu anaruka ukuta nilipuuzia nikaona hayo ya uongo sasa nimekuja kusikia tena juzi kwa baadhi ya watu kua huyu ni tabia yake kurishwa ukuta toka yupo chuo sasa nikipima na maneno yake kua chochote nachotaka atanipa picha inanijia maana kila tuwapo faragha ananiwekea mitego ya ajabu ajabu tuu ..

Sasa uyu nilikua na malengo nae aje awe mke sasa naingiwa na hofu unaeza oa mke anaefanya huo uchafu? sasa heshima si itashuka jamani? nifanyeje?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapo ni kusuka au kunyoa wenzako wameshaufungua huo mlango wa kutokea haja kubwa kazi kwako"YES"or"NO"

    ReplyDelete
  2. Endeleza kama vip watu wanaitafuta Iyo bahati. Mtoto anakupa hidaya waikataa ama wewe watu wainunua kwa malaka ww wapewa bure watia mbwembwe

    ReplyDelete
  3. Endeleza kama vip watu wanaitafuta Iyo bahati. Mtoto anakupa hidaya waikataa ama wewe watu wainunua kwa malaka ww wapewa bure watia mbwembwe

    ReplyDelete
  4. Kama yy analuka ukuta! Kwan wewe huwezi!? Nawe luka ukuta!

    ReplyDelete
  5. Mi natafuta mademu wa kutoa ndogo we wakataa Ama kweli dunia hadaa walimwengu shujaa

    ReplyDelete
  6. Hivi mnajua kuwa mnaposhauri vibaya nae anaeshauriwa akatenda dhambi kama hivyo baadhi yenu mnavyomshauri, na nyinyi mnaandikiwa dhambi kama yeye aliyezifanya.

    KUWENI MAKINI SANA NA USHAURI MNAOUTOA

    ReplyDelete

Top Post Ad