Picha: Makonda Atinga 'Uwanja wa Fisi' Wanapojiuza Madada poa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkuu wa mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda akiteta na Mlemavu ambaye amemkuta katika eneo la uwanja wa fisi akinywa pombe za kienyeji na kumsihi aache kunywa pombe hizo, leo jijini Dar es Salaam. 

Mkuu wa mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda akiwa ameongozana na Kamanda   wa kanda maalum ,Simon Sirro kugonga nyumba za baadhi ya akina dada  ambao hufanya biashara ya kujiuza katika eneo la uwanja wa fisi, leo jijini Dar es Salaam. 


 Mkuu wa mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda akiwa na Kamanda wa kanda maalum ,Simon Sirro wakiangalia bia ambazo zinauzwa uwanja wa fisi zikiwa zimekwisha muda wake,ambazo inaelezwa zimekuwa zikitumika kwa ajili ya matumizi ya Binadamu, leo jijini Dar es Salaam.Picha na Emanuel Masaka-Globu ya Jamii
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo tena ya kwenda kuwagongea akina Dada poa majumbani mwao sio sawa. Tena sio sawa kabisaaaaa. Ni kosa kisheria kwenda na kumuingilia mtu nyumbani kwake pasipo matakwa yake. Hiyo ni invansion of privacy. Ni kwa nini kama ni akina dada poa wasiwakamate kule mabarabarani wanapojiuza. Hilo linaweza kuwa ni kosa kujiuza mwili wako huko mabarabarani na litakuwa kosa tu kwa mujibu wa sheria za Nchi. Lakini hili la kwenda na kumgongea mtu nyumbani kwake sio haki. Unaenda kumgongea mtu mlango wake kwa kisingizio eti ni dada poa kwa ushahidi gani hasa uliokuwa nao.Una ushahidi gani kama pale alipo yeye ni dada poa. Kwa kweli nyie viongozi inawabidi wa wawamu hii ya tano pamoja na kutekeleza baadhi ya kazi zenu vizuri lakini pia inawabidi muwe makini sana katka utekelezaji wa baadhi ya mambo mengine katika shughuli zenu. Kwani bila ya kuzingatia zile haki za binadamu na sheria zinazowalinda Wananchi basi kuna siku Historia itakuja kuwahukumu. Na kimsingi hatutataka kuona hayo yanatokea. Lakini Bwana Makonda kwa hicho ulichokifanya cha kwenda kuwagongea mlango akina Dada majumbani mwao ni kosa kubwa kisheria. Hiyo ni Invasion of Privacy. Labda kama ulikuwa na ushahidi wa kutosha kuwa hapo wanapoishi kuna biashara za ukahaba zinaendelea. Lakini pia ni lazima uwe na ushahidi hasa wa kina kuhusiana na kile ulichokuwa unakitafuta.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we vepee mbona povu linakutoka
      ni mdau nini wa madada poa??

      Delete
    2. Kaka hapo juu umeeleza vizuri sana huwezi ingia nyumbani kwa mtu eti ni dada poa mbona huendi kuwagongea majambazi majumbani mwao? Na wewe mdau hapo unayeuliza kama ni mdau wa dada poa utaishia hapo hapo maana ndio mwisho wa kuelewa kwako

      Delete
    3. nyie vipi sheria za nchi hazirusu biashara ya ngono so makonda yuko saa hii kabisa
      biashara ya ngono ni haramu

      Delete

Top Post Ad