Wizkid Amtolea Uvivu Shabiki wa Tanzania Aliemtukana Instagram

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Mtv ema kumpatia Alikiba tuzo ya african act kutoka kwa Wizkid ,mashabiki wa Tanzania hasa wa Alikiba wamevamia ukurasa wa Instagram wa star huyo wa Nigeria na kumtukana.
Leo Wizkid ameshindwa kuvumilia baada ya shabiki mmoja kumtukania mama yake.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watu hawana akili kabisa sasa unamtukana mtu hlf unasema umetumwa Na kibba, ebu tcra mtafuteni huyo awe mfano

    ReplyDelete
  2. jamani watanzania mbona mko na roho mbaya hivyo kwani si makosa ya Wizkid kupokea tuzo kimakosa na wala hajakataa kurudisha hiyo tuzo sasa kwa nini mumtukane hivyo ndiyo maana watanzania hamuendelei umbea ni wenu, roho mbaya ni zenu, chuki binafsi ni zenu, Wizkid alivyokuja bongo kufanya shoo mlimpokea vizuri na alifurahi kuja bongo akasema anatamani aje bongo leo hii mnamtukana mtoto wa watu kama ni makosa yake makosa ni ya wale waliemtaja kimakosa kuwa yeye ni mshindi, watanzania shikeni adabu yenu! Hapa ni mdau kutoka Nairobi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tatizo instangram imevamiwa na mahousegirl na mahouseboy,yaani watu wanaposti vitu bila kujijua.

      Delete
  3. Na Wizkid haji tena bongo kufanya shoo sababu ya ujinga wenu na mimi naona Wizkid yupo juu kimuziki mpaka kaimba live na wanamuziki wakubwa wa kimarekani, na wanamziki wakubwa wa kimarekani wanamfahamu sana Wizkid lakini hawamjui Ali kiba ni nani, Wizkid anafahamika sana Marekani na Ulaya, na Wizkid yupo juu sana kimuziki kuliko Kiba ingawa Wizkid hajawa kwenye game muda mrefu kama Ali kiba lakini tayari Wizikid ni tajiri sana, pia ana majumba na mkwanja mreeeeeeeeefu,hapo Alikiba hamfikii hata kwa punje, Alikiba atakuwaje msanii wakati hata nyumba hana anaishi kwa mama na ndiyo maana Alikiba kule Marekani hawamjui kule Marekani unajulikana ukiwa na mkwanja mreefu kama akina Wizkid

    ReplyDelete

Top Post Ad