DIANA Edward Miss Tanzania Aingia Fainali za Beauty With A Purpose Miss World, Awapa Vidonge Wanaomsema Vibaya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Miss Tanzania 2016, Diana Edward, ameingia kwenye fainali za shindano la Beauty With A Purpose ambalo ni sehemu ya mashindano mbalimbali kwenye Miss World.

Beauty With A Purpose huhusisha miradi mbalimbali ya kijamii ambayo hufanywa na washiriki wa Miss World. Diana amewasilisha documentary ya masuala ya ukeketaji kwenye jamii ya watu wa Masai.

Fainali za Miss World mwaka zitafanyika December 18, nchini Marekani.

Pamoja na Diana kuonesha kufanya vizuri, tangu atawazwe kuwa Miss Tanzania mwaka huu, amekuwa akipokea maneno hasi.

“I’m not beautiful Yes,I’m not focused Yes,I’m in a vacation Yes,I’m dumb Yes,I’m not up todate Yes. Who knows tomorrow ONLY God can determine your future.Thanks for those who have been and still voting for me and supporting me no matter how much Haters are pushing me back you guys are still holding my hand and lift me up,” ameandika kwenye Instagram.

“Good News My Beauty with a Purpose Documentary for Masai Dondosha Wembe has shined again to TOP 20 waiting for the TOP position and has been said ever since there has never been such a wonderful message to the beauty pageant history of Miss World.Please Keep on voting for your Tanzania’s Best Kept Secret Princess Diana,I love myself though. One rule I was born to shade tears to fight and to become a champion,” ameongeza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watanzania hacheni fitina za kijinga tumsapoti mwenzetu.hubu badirikeni hacheni uswahili

    ReplyDelete
  2. YES GOD KNOWS DEAR TUPO NYUMA YAKO MUNGU ATATENDA!!!

    ReplyDelete
  3. Kuna washenzi Flani Instagram kwakua wana visa na Mange Kimambi basi Uki koment kwa mange wee adui...Ndio wanao mkatisha tamaa huyo miss Tanzania....Acheni hizo Nyie mnao hangaika na maisha ya watu....Tumsaport miss wetu

    ReplyDelete

  4. Nimekupenda bure binti yangu, kuwa real you my, wanataka ukajiongeze hips ziwe kama kabati au uvae nywele za wabrazil? U are pretty, very prety my, tunakuombea nyota yako ing'are mara 79. Peperusha bendera ya tanzania. 'masai dondosha wembe, tanzania dondosha wembe, afrika dondosha wembe' makofi kwako barikiwa sana

    ReplyDelete

Top Post Ad